Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Unamuwaza sana Mbowe kuliko hata unavyowazwa na mkewe.Huyu jamaa angekuwepo 2015 angekuwa ana namba ya Mbowe. Wangepiga sana hela za Lowassa.
Mkuu sio freeman, namuongelea John Mbowe hapa.Unamuwaza sana Mbowe kuliko hata unavyowazwa na mkewe.
Hii kamdanganye beki tatu wenu ingawa na yeye ataishtukia tu 😂Mkuu sio freeman, namuongelea John Mbowe hapa.
Huyu jamaa inabidi ashukuriwe maana alitimiza maandiko hakuwa na jinsi ya kuepuka hiki kikombe maana imeandikwa maandiko lazima yatimieView attachment 2187410
Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu.
Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku wakimsifu kwa nyimbo na mapambio.
Mwenye historia ya Yuda Iskariote a.k.a chuma atuwekee hapa wapendwa.
Nasikia jamaa alipiga billion 222 za kitanzaniaView attachment 2187410
Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu.
Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku wakimsifu kwa nyimbo na mapambio.
Mwenye historia ya Yuda Iskariote a.k.a chuma atuwekee hapa wapendwa.
HhhhNasikia jamaa alipiga billion 222 za kitanzania
Lazima ingekua Yuda.Hata asingekuwa Yuda, maandiko yalipaswa kutimizwa.
View attachment 2191529hii bastola imeuwa watanzania wengi wasio na hatia, huyu atakutana na yuda jehanamu