Yuda Iskariote chuma kilicho piga pesa ndefu na kumsaliti Yesu

Hapana hakupiga hela ndefu, tukiongea kiuhusiano [relatively speaking]

Na hata kama alipiga pesa kiasi kikubwa vipi hakikuwa cha kuridhisha

In fact pesa haiwezi kuridhisha nafsi

Ndiyo maana mwisho ni kukosa maana ya maisha ikiwa utaendekeza pesa na kusahau la muhimu zaidi ambalo ni kuishi uweponi mwa Mungu.

Itabakia kuwa kweli daima kwamba ; Utafuteni kwanza ufalme wa Mungu kisha hayo mengine kimsingi mtakuwa mmeshayapata kiotomati.
 
Hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…