Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Nashukuru nimefika salama Dodoma nikitokea Iringa ambapo nilipata penzi motomoto, nimeamua kufikia Lodge moja hivi pande za Kisasa, hii ni kutokana na kuwa na miadi na demu wangu wa Facebook ambaye tulianza kuwasiliana kitambo sana, kwa taaluma ni mwalimu, saa 8 juu ya alama nimempitia kazini kwake tukaenda kula then nikamleta eneo la tukio.
Ameingia bafuni kuoga namimi nipo kitandani nimekunja nne huku natikisa tikisa mguu kidogo, nasubiri atoke nimpelekee moto, mtoto mpole fulani hivi, inaelekea ni mtu wa dini sana, kasura kakitoto hivi, ana sauti tamu sana.
Endeleeni kuperuzi JF wakati mimi nikila uhondo. Hadi mida ya jioni nimsindikize kwake, uzuri ni kwamba yuko single.
Dodoma hoyeee.