Yuko Bafuni Muda huu...

Nashukuru nimefika salama Dodoma nikitokea Iringa ambapo nilipata penzi motomoto, nimeamua kufikia Lodge moja hivi pande za Kisasa, hii ni kutokana na kuwa na miadi na demu wangu wa Facebook ambaye tulianza kuwasiliana kitambo sana,

Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, pata akili ndugu uache uzinzi.
 
Kijana limbuken ww.. wakat watto wazuri kila day tunawatafuna
 
"inaelekea ni mtu wa dini sana" ila kakubali kuingia lodge kukulana na wewe mliefahamiana FB?
 
Asante kwa taarifa
 
Ndo tabia zenu , mkianza kukojoa dagaa mnakimbilia huku eti ushauri 😀😀😀 mara ooh "wakuu nimepiga kavu ila sikuchubuka nimekuja kugundua demu kaungua"
 
atakuwa bikra mtt mpolee, anyway usisahau kuleta mrejesho.
 
Wenzako wakimiliki Range usiseme wanaloga wewe endekeza papuchi... wanawake wengine nuksi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…