Cc Makhonda Albert.wewe utaisaidia mahakama, unaonekana unajua mambo mengi.
Adam ni Radio presenter mzuri tu ila sjui amelogwa na nani?View attachment 2578424
Picha: Adam Mchomvu
Baada ya lile sakata la kumpiga msanii Q Chila, ni karibu mwezi mmoja sasa sauti ya Adam Mchomvu haijapata kusikika kwenye kipindi cha XXL pale Clouds FM.
Je, amekula ban kama ya Mpwayungu kutoka kwa waajiri wake CMG au yupo likizo ya kawaida tu?
Bipolar mmoja !!Kasimamishwa kazi alimpiga bipolar fulani anaitwa Q Chief. Na kesi ilipelekwa ubaoni.