Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Picha: Adam Mchomvu
Baada ya lile sakata la kumpiga msanii Q Chila, ni karibu mwezi mmoja sasa sauti ya Adam Mchomvu haijapata kusikika kwenye kipindi cha XXL pale Clouds FM.
Je, amekula ban kama ya Mpwayungu kutoka kwa waajiri wake CMG au yupo likizo ya kawaida tu?