Yuko wapi afisa habari wa yanga Haji Sande Manara?

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Habari Jf
Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake

Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale

Haji yule wa simba aliyehamia yanga yuko wapi?
 
Kwaiyo ulitaka alivyokuwa anaropoka akiwa simba aendelee ivyo ivyo akiwa yanga sio? Anafata kile kilichomo kwenye mkataba wake kufanya kazi kwa uweledi ndo maana unasema haonekani kwakuwa mlizoea kumuona anaropoka ovyo ovyo uko kwenye timu yenu, yupo yanga kwa sasa ambayo inae CEO anaefanya mambo kiprofessional senzo mbatha mazingiza, kwaiyo kama unategemea kumuona manara akiongea ovyo ovyo kama mlivyokuwa mmezoea uko kwenu mtasubili sana labda kamfate kwenye kurasa zake za kijamii uko ndo anakowacharura but sio kwenye masuala official yanayoiusu yanga!
 
Hafanyi Kwa sababu Kwa Sasa hana mamlaka hayo, Manara hajawahi kuwa na weredi na hatokuja kuwa nao, ndiomaana Kila anapopata nafasi ya kuongea ata km ni dkka chache lazima ataisema tu Simba, rejea majuzi kwenye uzinduzi wa card za wanachama alivoinannga Simba au ule mkutano ulikuwa haiu husishi club ya Yanga au sio?

Huko alipo hana tena cheo alichokuwa nacho Simba, saizi yupo chini ya Hassan Bumbuli ambae ndio Afisa habari wa yanga, na Manara yupo kama muhamasishaji tu akichukua nafasi ya Nugazi, hivo majukumu yamechange Kulingana na nafasi aliyopo so usilete habari za weledi hapa

Manara alikuwa anaisema yanga kwenye press inayohusu mambo ya Simba, wakati huo yeye akiwa kama Afisa habari wa club, kumbuka kipindi ndo ameenda yanga alipofanya media tour Kila sehemu alikuwa anaisema Simba tu hicho kipindi yanga walikuwa hawana CEO mwenye Akili? Alikuwa anaongea yaliyo kwenye mkataba?

We mara ya mwisho kuskia Haji Manara anapigiwa simu na Wasafi au EFM kuongelea mambo ya Yanga, iwe issue za usajili au anything kuhusu Yanga ni lini? So jamaa Kwa Sasa hana airtime na hana platform ya kuongelea pumba zake, media kama zimemdharau tu

Kwahiyo kuna sababu ambazo zimechangia Haji kupunguza kelele, Moja nafasi aliyonayo hapo Yanga, pili hapati airtime kama zamani,tatu viongozi wa Simba pamoja na kuwasema sana ila hawamjibu kwahiyo dizaini kama anahisi kudharauliwa so hakuna Cha weledi wala mwamedi hapo

Hapo alipo anayo mambo kibao ya kuyaongea basi tu chance ndio imekuwa ngumu kuipata, we ngoja aje kupata nafasi ya kuongea na Media yoyote kubwa ndio utajua ni jinsi gani jamaa ana kiu, anaendelea kuisema Simba kwenye Instagram page yake ila kule hapamtoshi, atapata tu chance na ataitumia vizuri
 
kilichowanavutia toka kwake ni huo uropokaji wake mkafikiri ndio unaoleta ushindi pale kwa mkapa
na mlimsajili kwa kazi uropokaji,,, jibu swali huo uhafisa habari bila vyombo vya habari na kusikika anaufanyia wapi?
 
Ayo ni mawazo yako na uelewa wako umaishia apo, wakati viongozi wa yanga wanakufuata kukwambia wamemuajiri manara kwa sababu ya uropokaji sisi atukuwepo inawezekana walikwambia kinyume chake😎😎
 
Kapelekwa arabuni na jamaa wa kiarabu,uwa wanampeleka alafu wanamrudisha wanamnunulia gari.
 
Hafanyi Kwa sababu Kwa Sasa hana mamlaka hayo, Manara hajawahi kuwa na weredi na hatokuja kuwa nao, ndiomaana Kila anapopata nafasi ya kuongea ata km ni dkka chache lazima ataisema tu Simba, rejea majuzi kwenye uzinduzi wa card za wanachama alivoinannga Simba au ule mkutano ulikuwa haiu husishi club ya Yanga au sio?

Huko alipo hana tena cheo alichokuwa nacho Simba, saizi yupo chini ya Hassan Bumbuli ambae ndio Afisa habari wa yanga, na Manara yupo kama muhamasishaji tu akichukua nafasi ya Nugazi, hivo majukumu yamechange Kulingana na nafasi aliyopo so usilete habari za weledi hapa

Manara alikuwa anaisema yanga kwenye press inayohusu mambo ya Simba, wakati huo yeye akiwa kama Afisa habari wa club, kumbuka kipindi ndo ameenda yanga alipofanya media tour Kila sehemu alikuwa anaisema Simba tu hicho kipindi yanga walikuwa hawana CEO mwenye Akili? Alikuwa anaongea yaliyo kwenye mkataba?

We mara ya mwisho kuskia Haji Manara anapigiwa simu na Wasafi au EFM kuongelea mambo ya Yanga, iwe issue za usajili au anything kuhusu Yanga ni lini? So jamaa Kwa Sasa hana airtime na hana platform ya kuongelea pumba zake, media kama zimemdharau tu

Kwahiyo kuna sababu ambazo zimechangia Haji kupunguza kelele, Moja nafasi aliyonayo hapo Yanga, pili hapati airtime kama zamani,tatu viongozi wa Simba pamoja na kuwasema sana ila hawamjibu kwahiyo dizaini kama anahisi kudharauliwa so hakuna Cha weledi wala mwamedi hapo

Hapo alipo anayo mambo kibao ya kuyaongea basi tu chance ndio imekuwa ngumu kuipata, we ngoja aje kupata nafasi ya kuongea na Media yoyote kubwa ndio utajua ni jinsi gani jamaa ana kiu, anaendelea kuisema Simba kwenye Instagram page yake ila kule hapamtoshi, atapata tu chance na ataitumia vizuri
Juzi kulikuwa na mkutano wa maafisa habari, nilimuona bumbuli tu sasa hiyo opportunity ya kulopoka hovyo anaipatia wapi?

Halafu anampamba tajiri na kujidai kuweka ukaribu na hersi ili apate kitengo kikubwa aanze kusumbua na ndio maana ila baada ya post mbili basi ya tatu lazima amsifie hersi au GSM
 
Habari Jf
Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake

Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale

Haji yule wa simba aliyehamia yanga yuko wapi?
Job description ya Haji Manara ni MHAMASISHAJI kwa jina lingine ni kama konda wa dala dala wala siyo dereva wa dala dala
Afisa Habari wa Yanga ni Hassan Bumbuli nukta siyo Manara ni mpiga debe tuu
 
Back
Top Bottom