Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Ahaa ni choko engineer anafaidiSio Kabwili ni Egineer Hersi....huoni alivyokuwa anamkumbatia jana kimahaba?[emoji16]
Kwaiyo ulitaka alivyokuwa anaropoka akiwa simba aendelee ivyo ivyo akiwa yanga sio? Anafata kile kilichomo kwenye mkataba wake kufanya kazi kwa uweledi ndo maana unasema haonekani kwakuwa mlizoea kumuona anaropoka ovyo ovyo uko kwenye timu yenu, yupo yanga kwa sasa ambayo inae CEO anaefanya mambo kiprofessional senzo mbatha mazingiza, kwaiyo kama unategemea kumuona manara akiongea ovyo ovyo kama mlivyokuwa mmezoea uko kwenu mtasubili sana labda kamfate kwenye kurasa zake za kijamii uko ndo anakowacharura but sio kwenye masuala official yanayoiusu yanga!Habari Jf
Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake
Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale
Haji yule wa simba aliyehamia yanga yuko wapi?
Hafanyi Kwa sababu Kwa Sasa hana mamlaka hayo, Manara hajawahi kuwa na weredi na hatokuja kuwa nao, ndiomaana Kila anapopata nafasi ya kuongea ata km ni dkka chache lazima ataisema tu Simba, rejea majuzi kwenye uzinduzi wa card za wanachama alivoinannga Simba au ule mkutano ulikuwa haiu husishi club ya Yanga au sio?Kwaiyo ulitaka alivyokuwa anaropoka akiwa simba aendelee ivyo ivyo akiwa yanga sio? Anafata kile kilichomo kwenye mkataba wake kufanya kazi kwa uweledi ndo maana unasema haonekani kwakuwa mlizoea kumuona anaropoka ovyo ovyo uko kwenye timu yenu, yupo yanga kwa sasa ambayo inae CEO anaefanya mambo kiprofessional senzo mbatha mazingiza, kwaiyo kama unategemea kumuona manara akiongea ovyo ovyo kama mlivyokuwa mmezoea uko kwenu mtasubili sana labda kamfate kwenye kurasa zake za kijamii uko ndo anakowacharura but sio kwenye masuala official yanayoiusu yanga!
kilichowanavutia toka kwake ni huo uropokaji wake mkafikiri ndio unaoleta ushindi pale kwa mkapaKwaiyo ulitaka alivyokuwa anaropoka akiwa simba aendelee ivyo ivyo akiwa yanga sio? Anafata kile kilichomo kwenye mkataba wake kufanya kazi kwa uweledi ndo maana unasema haonekani kwakuwa mlizoea kumuona anaropoka ovyo ovyo uko kwenye timu yenu, yupo yanga kwa sasa ambayo inae CEO anaefanya mambo kiprofessional senzo mbatha mazingiza, kwaiyo kama unategemea kumuona manara akiongea ovyo ovyo kama mlivyokuwa mmezoea uko kwenu mtasubili sana labda kamfate kwenye kurasa zake za kijamii uko ndo anakowacharura but sio kwenye masuala official yanayoiusu yanga!
Ayo ni mawazo yako na uelewa wako umaishia apo, wakati viongozi wa yanga wanakufuata kukwambia wamemuajiri manara kwa sababu ya uropokaji sisi atukuwepo inawezekana walikwambia kinyume chake😎😎kilichowanavutia toka kwake ni huo uropokaji wake mkafikiri ndio unaoleta ushindi pale kwa mkapa
na mlimsajili kwa kazi uropokaji,,, jibu swali huo uhafisa habari bila vyombo vya habari na kusikika anaufanyia wapi?
mbwembwe zote zile ameishia kuwa chawa😂😁Afisa Habari ni Hasan Bumbuli. Manara ni chawa tu,kwa kwa mwenendo wake wa kujinusisha kwa Hersi ni kama anapigania kuwa mke
HaaNi pale mtu alipotaka kuwa mkubwa na mnene kuliko Simba SC!
na ukabwili juuKapelekwa arabuni na jamaa wa kiarabu,uwa wanampeleka alafu wanamrudisha wanamnunulia gari.
Juzi kulikuwa na mkutano wa maafisa habari, nilimuona bumbuli tu sasa hiyo opportunity ya kulopoka hovyo anaipatia wapi?Hafanyi Kwa sababu Kwa Sasa hana mamlaka hayo, Manara hajawahi kuwa na weredi na hatokuja kuwa nao, ndiomaana Kila anapopata nafasi ya kuongea ata km ni dkka chache lazima ataisema tu Simba, rejea majuzi kwenye uzinduzi wa card za wanachama alivoinannga Simba au ule mkutano ulikuwa haiu husishi club ya Yanga au sio?
Huko alipo hana tena cheo alichokuwa nacho Simba, saizi yupo chini ya Hassan Bumbuli ambae ndio Afisa habari wa yanga, na Manara yupo kama muhamasishaji tu akichukua nafasi ya Nugazi, hivo majukumu yamechange Kulingana na nafasi aliyopo so usilete habari za weledi hapa
Manara alikuwa anaisema yanga kwenye press inayohusu mambo ya Simba, wakati huo yeye akiwa kama Afisa habari wa club, kumbuka kipindi ndo ameenda yanga alipofanya media tour Kila sehemu alikuwa anaisema Simba tu hicho kipindi yanga walikuwa hawana CEO mwenye Akili? Alikuwa anaongea yaliyo kwenye mkataba?
We mara ya mwisho kuskia Haji Manara anapigiwa simu na Wasafi au EFM kuongelea mambo ya Yanga, iwe issue za usajili au anything kuhusu Yanga ni lini? So jamaa Kwa Sasa hana airtime na hana platform ya kuongelea pumba zake, media kama zimemdharau tu
Kwahiyo kuna sababu ambazo zimechangia Haji kupunguza kelele, Moja nafasi aliyonayo hapo Yanga, pili hapati airtime kama zamani,tatu viongozi wa Simba pamoja na kuwasema sana ila hawamjibu kwahiyo dizaini kama anahisi kudharauliwa so hakuna Cha weledi wala mwamedi hapo
Hapo alipo anayo mambo kibao ya kuyaongea basi tu chance ndio imekuwa ngumu kuipata, we ngoja aje kupata nafasi ya kuongea na Media yoyote kubwa ndio utajua ni jinsi gani jamaa ana kiu, anaendelea kuisema Simba kwenye Instagram page yake ila kule hapamtoshi, atapata tu chance na ataitumia vizuri
aliyekuwa anamuita kg 800 leo anasema ni Makamu Mwenyekiti smart kuwahi kutokea Afrikambwembwe zote zile ameishia kuwa chawa😂😁
Job description ya Haji Manara ni MHAMASISHAJI kwa jina lingine ni kama konda wa dala dala wala siyo dereva wa dala dalaHabari Jf
Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake
Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale
Haji yule wa simba aliyehamia yanga yuko wapi?