Yuko wapi Alekuwa Akiendesha Vipindi vya Watoto ITV miaka ya 90?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Alikuwa anaitwa Ed Sultan. Alikuwa mahiri sana huyu kijana katika utangazaji wakati huo akiwa mdogo sana kama miaka kumi au zaidi kidogo. Wakati fulani mama yake kajitokeza ITv na kueleza habari za mtoto wake Ed. kwamba anatamani sana kusomea urubani. Sijui kama alijiunga na hiyo kozi baada ya masomo yake.

Kwa wanaomjua tafadhali nijulishe anafanya nini sasa.Au Ed kama upo huku JF jitokeze useme uko wapi na unafanya nini sasa. Kuna mtoto wangu alikuwa anakufagilia sana kipindi hicho ukiwa ITV na ana hamu ya kujua uliko sasa.
 
amekuwa mkubwa sana siku hizi nilibahatika kumuona siku moja itv
 
kawa mkubwa siku hizi yupo pale NBC ni boss wa kitengo flani pale headquarter NBC na ameoa source: MKasi show
 
alikuwa anaitwa ed sultan. Alikuwa mahiri sana huyu kijana katika utangazaji wakati huo akiwa mdogo sana kama miaka kumi au zaidi kidogo. Wakati fulani mama yake kajitokeza itv na kueleza habari za mtoto wake ed. Kwamba anatamani sana kusomea urubani. Sijui kama alijiunga na hiyo kozi baada ya masomo yake.

Kwa wanaomjua tafadhali nijulishe anafanya nini sasa.au ed kama upo huku jf jitokeze useme uko wapi na unafanya nini sasa. Kuna mtoto wangu alikuwa anakufagilia sana kipindi hicho ukiwa itv na ana hamu ya kujua uliko sasa.

nbc tanzania utampata
 
kuna siku iliwekwa picha ya harusi yake hapahapa jf. tena jukwaa hilihili.
 
Alikuwa anaitwa Ed Sultan. Alikuwa mahiri sana huyu kijana katika utangazaji wakati huo akiwa mdogo sana kama miaka kumi au zaidi kidogo. Wakati fulani mama yake kajitokeza ITv na kueleza habari za mtoto wake Ed. kwamba anatamani sana kusomea urubani. Sijui kama alijiunga na hiyo kozi baada ya masomo yake.

Kwa wanaomjua tafadhali nijulishe anafanya nini sasa.Au Ed kama upo huku JF jitokeze useme uko wapi na unafanya nini sasa. Kuna mtoto wangu alikuwa anakufagilia sana kipindi hicho ukiwa ITV na ana hamu ya kujua uliko sasa.

Nimependa sana hapo nilipopigia mstari, ukiniulizaa nini? Nitakwambia kwa sababu umeonyesha sana kumjali mtoto wako.
 
wenzio tulikuwa hatumpendi kihivyo,tulikuwa tunampenda tumbemende.....:tape2::rockon:
 
Ed amebahatika kupata mtoto wa kiume tarehe 18.2.2013 huko Uganda! And unfortunately amepoteza bibi yake aliyekuwa akiishi nae kwenye neighbourhood aliyokuwa akilelewa na wazazi wake huko Makongo juu! Ed is in Uganda ambako ndiko anakotokea mke wake

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Ed anafanya kazi NBC headquarterz pale, kitengo cha mahusiano nadhani...amekuwa na tayari ameoa...
 
Ed amebahatika kupata mtoto wa kiume tarehe 18.2.2013 huko Uganda! And unfortunately amepoteza bibi yake aliyekuwa akiishi nae kwenye neighbourhood aliyokuwa akilelewa na wazazi wake huko Makongo juu! Ed is in Uganda ambako ndiko anakotokea mke wake

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Juzi nimemuona Ed NBC kaenda uganda lini
 
Ed amebahatika kupata mtoto wa kiume tarehe 18.2.2013 huko Uganda! And unfortunately amepoteza bibi yake aliyekuwa akiishi nae kwenye neighbourhood aliyokuwa akilelewa na wazazi wake huko Makongo juu! Ed is in Uganda ambako ndiko anakotokea mke wake

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

...You mean Mama Mhina? Are saying that Mama Mhina has died?? Oh my Lord! When was this?
 
Bibi yake Edd mzaa baba anayeitwa Anne Ruth Mhina amefariki @ 78 yrs! Tarehe 14 mwezi february na ww uliyemwona edd itakuwa ni msukule wake kuleta issue zisizo issue juzi unaijua wkt ameshindwa ht kuja kwenye funeral maana na wife wake alikuwa na wkt mgumu kidogo grow up

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Bibi yake Edd mzaa baba anayeitwa Anne Ruth Mhina amefariki @ 78 yrs! Tarehe 14 mwezi february na ww uliyemwona edd itakuwa ni msukule wake kuleta issue zisizo issue juzi unaijua wkt ameshindwa ht kuja kwenye funeral maana na wife wake alikuwa na wkt mgumu kidogo grow up

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

sasa hapa tumwamini nan,wewe au hawa wanaosema anafanya kazi NBC?
 
Back
Top Bottom