SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Alikuwa anaitwa Ed Sultan. Alikuwa mahiri sana huyu kijana katika utangazaji wakati huo akiwa mdogo sana kama miaka kumi au zaidi kidogo. Wakati fulani mama yake kajitokeza ITv na kueleza habari za mtoto wake Ed. kwamba anatamani sana kusomea urubani. Sijui kama alijiunga na hiyo kozi baada ya masomo yake.
Kwa wanaomjua tafadhali nijulishe anafanya nini sasa.Au Ed kama upo huku JF jitokeze useme uko wapi na unafanya nini sasa. Kuna mtoto wangu alikuwa anakufagilia sana kipindi hicho ukiwa ITV na ana hamu ya kujua uliko sasa.