ITV imeanza urushaji wa matangazo yake mwaka 1990?
alikuwa anaitwa ed sultan. Alikuwa mahiri sana huyu kijana katika utangazaji wakati huo akiwa mdogo sana kama miaka kumi au zaidi kidogo. Wakati fulani mama yake kajitokeza itv na kueleza habari za mtoto wake ed. Kwamba anatamani sana kusomea urubani. Sijui kama alijiunga na hiyo kozi baada ya masomo yake.
Kwa wanaomjua tafadhali nijulishe anafanya nini sasa.au ed kama upo huku jf jitokeze useme uko wapi na unafanya nini sasa. Kuna mtoto wangu alikuwa anakufagilia sana kipindi hicho ukiwa itv na ana hamu ya kujua uliko sasa.
ITV imeanza urushaji wa matangazo yake mwaka 1990?
Alikuwa anaitwa Ed Sultan. Alikuwa mahiri sana huyu kijana katika utangazaji wakati huo akiwa mdogo sana kama miaka kumi au zaidi kidogo. Wakati fulani mama yake kajitokeza ITv na kueleza habari za mtoto wake Ed. kwamba anatamani sana kusomea urubani. Sijui kama alijiunga na hiyo kozi baada ya masomo yake.
Kwa wanaomjua tafadhali nijulishe anafanya nini sasa.Au Ed kama upo huku JF jitokeze useme uko wapi na unafanya nini sasa. Kuna mtoto wangu alikuwa anakufagilia sana kipindi hicho ukiwa ITV na ana hamu ya kujua uliko sasa.
ITV imeanza urushaji wa matangazo yake mwaka 1990?
Ed amebahatika kupata mtoto wa kiume tarehe 18.2.2013 huko Uganda! And unfortunately amepoteza bibi yake aliyekuwa akiishi nae kwenye neighbourhood aliyokuwa akilelewa na wazazi wake huko Makongo juu! Ed is in Uganda ambako ndiko anakotokea mke wake
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Bibi yake Edd mzaa baba anayeitwa Anne Ruth Mhina amefariki @ 78 yrs! Tarehe 14 mwezi february na ww uliyemwona edd itakuwa ni msukule wake kuleta issue zisizo issue juzi unaijua wkt ameshindwa ht kuja kwenye funeral maana na wife wake alikuwa na wkt mgumu kidogo grow up
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums