Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Uko sahihi KWA asilimia 100%!Ukiona mtangazaji au dj anadumu EA RADIO AU EATV basi ujue si mtangazaji au dj bora,kama walivyo wakina Dullah na Sammisago hawana soko kwingine na wala hakuna anaewahitaji. Watangazaji wasioweza hata kuyavutia makampuni mengi kutangaza kwao.
Redio Ife Mara ngapi? Sijui Mary the night nurse bado yupo,? Maana she was my favorite in my hey days...Aiseeeee!!! Dulla na,sam
Naona,n kama mshahara wao
Unakuaga juuu maana
Hao wakiondoka ndo bhas
Tena na hyo radio inakufa
Kuna yule mchizi anaitwa Sebastian daah jamaa alikuwa vizuri sana kipindi cha night.Redio Ife Mara ngapi? Sijui Mary the night nurse bado yupo,? Maana she was my favorite in my hey days...
Jamaa alienda choice fm, Ila nako naona kunaenda hovyo.. Wamejazana kina gigy moneyKuna yule mchizi anaitwa Sebastian daah jamaa alikuwa vizuri sana kipindi cha night.
Post sent using JamiiForums mobile app
anasimamia saluni yakeNa yule DJ mafuvu yukwapi??? Nimemiss kelele zake zile dah
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kapoteana kabisa yaani bora hata angebaki EA RADIOEeh Anna Peter kahamia TBC?
Kaenda tbc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana kumbe kafutika kwenye uso wa burudani...
Post sent using JamiiForums mobile app
Nafasi yake imechukulia quen fifiAiseeee! Huyu mwanadada alikua amefit sana pale kwenye planet bongo, alikuwa anaipatia vizuri sana akiwa na Dulla lakini nimeshangaa Juzi nasikiliza tena online mara nakutana na jamaa mwingne sijui ndo anaitwa Junior jr, anaboa kichizi kwenye hicho kipindi sijui ipi nini wanawakosea hawa wafanyakazi wao sjui ni mshahara sijui ni ubaguzi ama?
Huy mshikaji anakinukisha mbaya na mastori ya mamtoni..Kuna Jamaa m1 yupo hapo EA Radio mda mwingi anasema "Woza,woza,woza "
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Hahahaaa kilo 3 halafu staa lazima ukimbie.Mshahara laki 3 pale lazima utonde nduki
Post sent using JamiiForums mobile app