Yuko wapi Anna Peter aliekuwa EA Radio?

Yuko wapi Anna Peter aliekuwa EA Radio?

Aiseeeee!!! Dulla na,sam
Naona,n kama mshahara wao
Unakuaga juuu maana


Hao wakiondoka ndo bhas
Tena na hyo radio inakufa
Redio Ife Mara ngapi? Sijui Mary the night nurse bado yupo,? Maana she was my favorite in my hey days...
 
Hivi bado kuna watu wanaamini EA radio itakufa kwa kuondoka mtu? ....Naamini wengi humu mna miaka si zaidi ya 10 kusikiliza radio seriously ....wengine tumeona vizazi kibao vya radio zetu hizi za FM toka zinaanza ....Hao EA radio ndio walivyo toka enzi za akina Bashiru Mohammed ....wanazalisha vipaji vya watangazaji na DJs ....DJs waliotikisa nchi hii wengi wamepita pale toka DJ JD, DJ Habib, DJ Rico, DJ Steve B ,DJ Mackey, DJ Ray C (Rehema Chalamila) , DJ Too hot na huyu mnayemjua wengi wa kizazi hiki ...DJ Mafuvu ...pale hapafi ...ni bandika bandua ....
 
Redio Ife Mara ngapi? Sijui Mary the night nurse bado yupo,? Maana she was my favorite in my hey days...
Kuna yule mchizi anaitwa Sebastian daah jamaa alikuwa vizuri sana kipindi cha night.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kuna yule mchizi anaitwa Sebastian daah jamaa alikuwa vizuri sana kipindi cha night.

Post sent using JamiiForums mobile app
Jamaa alienda choice fm, Ila nako naona kunaenda hovyo.. Wamejazana kina gigy money
 
Dah yan hata sielewi kwani dj mafuvu nae yuko wapi.?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kaenda tbc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana kumbe kafutika kwenye uso wa burudani...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Na yule DJ mafuvu yukwapi??? Nimemiss kelele zake zile dah

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
anasimamia saluni yake

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Ndinga mpya town acha kabisa apa Dialo,kule scola kisanga n david renywegila naona j3 haifiki
 
Aiseeee! Huyu mwanadada alikua amefit sana pale kwenye planet bongo, alikuwa anaipatia vizuri sana akiwa na Dulla lakini nimeshangaa Juzi nasikiliza tena online mara nakutana na jamaa mwingne sijui ndo anaitwa Junior jr, anaboa kichizi kwenye hicho kipindi sijui ipi nini wanawakosea hawa wafanyakazi wao sjui ni mshahara sijui ni ubaguzi ama?
Nafasi yake imechukulia quen fifi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mshahara laki 3 pale lazima utonde nduki

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nafasi yake imechukulia quen fifi

Post sent using JamiiForums mobile app
Dhuuuu!!! Lakon queen fifi
Anaft sana kwe kipind,chake cha
The Crouse

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom