mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Nguli huyu wa Diplomasia aliitendea haki Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa kutokana uzoefu uzoefu wake kama Balozi aliyewahi kutuwakilisha huko ughaibuni.
Nakumbuka alikuwa na kasi kubwa sana tangu alivyopewa majukumu ya kuongoza Wizara kabla ya kufikiwa na ' ajali ya kisiasa' na kuondolewa.
Kosa ni kurudia kosa anaweza akasemehewa kama walivyowahi kusamehewa wengine. Wizara hiyo tangu ameondolewa inaonekana kupwaya sana.