Yuko wapi Balozi Liberata Mulamula? Mwanadiplomasia huyu Nguli aliiweza sana Wizara ya Mambo ya Nje

Yuko wapi Balozi Liberata Mulamula? Mwanadiplomasia huyu Nguli aliiweza sana Wizara ya Mambo ya Nje

Kujipa udokta ama kupewa udokta bila shule hasa katikati ya uongozi kama hivyo ni dalili ya kuogopa wasomi halisi ambao wana stable informed decisions ambazo sio za kufuata upepo wa kisiasa, that type hawezi kuiva nayo ile ni magu type,
 
Nguli huyu wa Diplomasia aliitendea haki Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa kutokana uzoefu uzoefu wake kama Balozi aliyewahi kutuwakilisha huko ughaibuni.

Nakumbuka alikuwa na kasi kubwa sana tangu alivyopewa majukumu ya kuongoza Wizara kabla ya kufikiwa na ' ajali ya kisiasa' na kuondolewa.

Kosa ni kurudia kosa anaweza akasemehewa kama walivyowahi kusamehewa wengine. Wizara hiyo tangu ameondolewa inaonekana kupwaya sana.
Mimi nakumbuka ripoti ya wizara yake aliyo isoma bungeni, iliniacha hoi!
 
Back
Top Bottom