Kampoteza mtu mmoja muhimu sana. Aliyepo ameshindwa hadi kaundiwa jopo la kumsaidia kazi!Msahamaha upo kwa wakosajo , kosa ni kurudia kosa, kama anaona anafaa
Basi sio mbaya akiona inafaa kumrudisha. Kama alimsamehe January aliyemdharau wakati wa kampeni 2015 basi naamini anaweza pia kumsamehe Balozi MulamulaKampoteza mtu mmoja muhimu sana... Aliyepo ameshindwa hadi kaundiwa jopo la kumsaidia kazi!
Angemsamee tu Mulamula nchi isingeingia hasara kubwa hivi!!
Yule mulamula anajitambua Wewe hategemei vihela vyenu na Ndiyo maana karudi zake USAKampoteza mtu mmoja muhimu sana... Aliyepo ameshindwa hadi kaundiwa jopo la kumsaidia kazi!
Angemsamee tu Mulamula nchi isingeingia hasara kubwa hivi!!
Hv nasikia alitolewa Kwa kuonekana close zaidi na serikali ya Biden, na kuonekana kama anafanya 'insubordination'. hahahahaa....... btw mambo ya vyeo vya kuteuliwa Africa ndo vile.. . riziki popote asikate tamaa ......Karudi kwao Marekani kula bata!
Sio kazi ya Mwanadiplomasia kuwa karibu na viongozi? Labda kama alifanya tusiyojua tofauti na yale ambayo tuliambiwaHv nasikia alitolewa Kwa kuonekana close zaidi na serikali ya Biden, na kuonekana kama anafanya 'insubordination'. hahahahaa....... btw mambo ya vyeo vya kuteuliwa Africa ndo vile.. . riziki popote asikate tamaa ......
Kwao ni Kijijini kwetu Dogo. Panaitwa Musibuka!Karudi kwao Marekani kula bata!
Nasikia alitolewa sababu Mama alipandishwa daladala London.Hv nasikia alitolewa Kwa kuonekana close zaidi na serikali ya Biden, na kuonekana kama anafanya 'insubordination'. hahahahaa....... btw mambo ya vyeo vya kuteuliwa Africa ndo vile.. . riziki popote asikate tamaa ......
Sioni kama ni dhambi kuwa na nyumba mpya au kubwa, naamini zilikuwa tu juhudi za kumpa mbwa jina baya kablaa kumshambulia. Naamini kosa lake linasameheka kama wataona anahitajika