Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 792
- 1,015
Mimi nakumbuka ripoti ya wizara yake aliyo isoma bungeni, iliniacha hoi!Nguli huyu wa Diplomasia aliitendea haki Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa kutokana uzoefu uzoefu wake kama Balozi aliyewahi kutuwakilisha huko ughaibuni.
Nakumbuka alikuwa na kasi kubwa sana tangu alivyopewa majukumu ya kuongoza Wizara kabla ya kufikiwa na ' ajali ya kisiasa' na kuondolewa.
Kosa ni kurudia kosa anaweza akasemehewa kama walivyowahi kusamehewa wengine. Wizara hiyo tangu ameondolewa inaonekana kupwaya sana.
imagine aliogopa baada ya waziri kualikwa white house na kupiga picha na Biden na mkewe wakati yeye hajawahi 😃Rais Samia muoga sana. Akihisi.au akipata ripoti yoyote kutoka kwa chawa wake anafanyia kazi!
Akiona unamzidi kitu. Anatamani angefanya kazi na watu kama kina steve nyerereRais Samia muoga sana. Akihisi.au akipata ripoti yoyote kutoka kwa chawa wake anafanyia kazi!