Yuko wapi Bashe na kilimo chake? 'DPWedi' kila wizara!

Pale unaposubiri watu wafeli unashangaa wanatoboa .Ndo wewe huyo
Nawe unahangika na maneno ya taarabu badala ya kuwa analytical. Nchi hii ni waziri gani aliwahi fanikiwa ktk kilimo zaidi ya Profesa Machunda? Huyu Bashe anayeishia kununua pikipiki ili apate 10% ndo unaona anasaidia kilimo! Waliposhindwa CRDB na kilimo kwanza yeye analeta mradi mwingine wa BBT!

Tunajua lengo ni kupiga pesa ya mwarabu, tunayeambiwa ni mwekezaji mkubwa atakayezungukwa na vijana wa BBT kama manamba! Ndo hicho unachotaka nchi hii ktk kilimo?
 
Kumbe BBT ni manamba wenye kijiuelewa cha kilimo.aiseeeee
 
Kilimo cha whatsap, kwenye laptop

[emoji1]

Ova
 
Msiwe mnaanzisha nyuzi bila kuwa na taarifa za kina. Mnaongozwa na hisia kuliko uhalisia. Wewe hata unajua hiyo project ya bbt ipo hatua Gani saivi au unaropokwa TU??
 
Nawe unahangika na maneno ya taarabu badala ya kuwa analytical. Nchi hii ni waziri gani aliwahi fanikiwa ktk kilimo zaidi ya Profesa Machunda? Huyu Bashe anayeishia kununua pikipiki ili apate 10% ndo unaona anasaidia kilimo! Waliposhindwa CRDB na kilimo kwanza yeye analeta mradi mwingine wa BBT!

Tunajua lengo ni kupiga pesa ya mwarabu, tunayeambiwa ni mwekezaji mkubwa atakayezungukwa na vijana wa BBT kama manamba! Ndo hicho unachotaka nchi hii ktk kilimo?
Wewe na unahangaika na chuki zako tuu. Na allegations zisizo na kichwa Wala miguu, unajua saizi project ipo hatua gani. Umekalia tuu 10 %.
 
Kwani bungeni alisoma tofauti na anachokifanya. Hatuna sababu ya kufuatilia mpango unaotoka kichwani mwa mtu mwingine. Mipango ya serikali iko ktk karatasi.
Hii ya Bashe iko kwenye karatasi gani ya serikali? Wizi tu!
 
KIjana Bashe kishatajirika kwa pesa za BBT. Hakuna aliyenufaika na hadithi zake.
Taarifa rasmi pesa wameipiga; Kajenga vitua vya mafuta kama kijiji, Wameshrikiana na Boss wake kununua kiwanza cha Tumbaku Morogoro na wanaendelea kujenga hadi ndani ya eneo la wazi karibu kabisa na reli ya nchi.

Kama hawa wanachota, nani wa kuwazuia nchini?
 
Wewe na unahangaika na chuki zako tuu. Na allegations zisizo na kichwa Wala miguu, unajua saizi project ipo hatua gani. Umekalia tuu 10 %.
Hebu teleze project iko hatua gani leo hii. Tafadhari!
 
Back
Top Bottom