econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Umemsahau Aisha Kigoda,Blandina Nyoni walilamba asali enzi za JK
Aisha Kigoda mke wa Mohamed Khatib.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemsahau Aisha Kigoda,Blandina Nyoni walilamba asali enzi za JK
Moa kwa Bibi Nyau na paka wake chuki na kiu, waguse uone moto wakeAmrudi msegeju wa Moa huyu
Ha ha ha Tanga moja hiyo maeneo ya Moa , Zingibari kuelekea Kenya,hufanana na wadigo na wasambaa pia na ni wa Swahili haswaaa…kama unakumbuka kibwagizo “ Sijauona mpilipili na maua yake mchikichooo” wameambaa mpaka Kenya huko
Ila una maneno ya kashfa!!
Anyways,nakumbuka alikuwa kiongozi mzuri na pia ni mama mzuri mwenye adabu.
yuko kwao handeniHuyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.
Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
Aliwaambiaga walimu kama mishahara haiwatoshi wakalime nyanya.enzi hizo analamba asali.Nilimuona pale Dodoma miezi kadhaa iliyopita kwenye benki ya NMB tawi la Bunge (Kwa Waheshimiwa)!
Ni mama wa kawaida sana na asiye na makuu! Sijui ni kwa sababu hana cheo kikubwa nchini kwa sasa! Maana alitusalimia wateja wachache alio tukuta pale benki kwa unyenyekevu mkubwa kiasi cha mimi mkulima wa ngogwe kutoka Lushoto, kushikwa na mshangao!