Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

Ha ha ha Tanga moja hiyo maeneo ya Moa , Zingibari kuelekea Kenya,hufanana na wadigo na wasambaa pia na ni wa Swahili haswaaa…kama unakumbuka kibwagizo “ Sijauona mpilipili na maua yake mchikichooo” wameambaa mpaka Kenya huko

The Kilimanjaro band mkuu.

Ila hao jamaa.. eti “Msegeju ana ng’ombe eee. Nami nina ng’ombe zangu. Namwambia tuchanganye hataki, kwaheri nenda zakoo”.
 
Ila una maneno ya kashfa!!
Anyways,nakumbuka alikuwa kiongozi mzuri na pia ni mama mzuri mwenye adabu.

Inasemekana alishawaambia waalimu kama ualimu haulipi watafute mshiko mwingine.

Tamuchungu halisia kabisa ambayo yeye mwenyewe alishaitenda.
 
Huyu mama alitamba sana siku za jk katika ulingo wa siasa lakini kwa sasa sijamsikia popote kwa kuwa mama anawakumbuka sana wanawake, anaweza kumkumbuka na huyu.

Nakumbuka mara ya mwisho kumsikia alikuwa mkuu wa mkoa wa tanga yaani alikuwa anapiga simu redioni kuingilia mijadala.
yuko kwao handeni
 
Nilimuona pale Dodoma miezi kadhaa iliyopita kwenye benki ya NMB tawi la Bunge (Kwa Waheshimiwa)!

Ni mama wa kawaida sana na asiye na makuu! Sijui ni kwa sababu hana cheo kikubwa nchini kwa sasa! Maana alitusalimia wateja wachache alio tukuta pale benki kwa unyenyekevu mkubwa kiasi cha mimi mkulima wa ngogwe kutoka Lushoto, kushikwa na mshangao!
Aliwaambiaga walimu kama mishahara haiwatoshi wakalime nyanya.enzi hizo analamba asali.
 
Back
Top Bottom