Yuko wapi bi Mwantumu Mahiza!?

Ha ha ha Tanga moja hiyo maeneo ya Moa , Zingibari kuelekea Kenya,hufanana na wadigo na wasambaa pia na ni wa Swahili haswaaa…kama unakumbuka kibwagizo “ Sijauona mpilipili na maua yake mchikichooo” wameambaa mpaka Kenya huko

The Kilimanjaro band mkuu.

Ila hao jamaa.. eti “Msegeju ana ng’ombe eee. Nami nina ng’ombe zangu. Namwambia tuchanganye hataki, kwaheri nenda zakoo”.
 
Ila una maneno ya kashfa!!
Anyways,nakumbuka alikuwa kiongozi mzuri na pia ni mama mzuri mwenye adabu.

Inasemekana alishawaambia waalimu kama ualimu haulipi watafute mshiko mwingine.

Tamuchungu halisia kabisa ambayo yeye mwenyewe alishaitenda.
 
yuko kwao handeni
 
Aliwaambiaga walimu kama mishahara haiwatoshi wakalime nyanya.enzi hizo analamba asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…