Na nyimbo nyingine nyingi aliimba..Wadau wa Mziki wa injili haswa wale wa kuanzia miaka ya 2007 kurudi nyuma mtakuwa mnamkumbuka. Naomba mnijuze na muwazuje wadau juu ya huyu Mtumishi wa Bwana.Malaya wameoza
Dungwa sindano.
kila mtu ana kwao.
Ulevi ni pepo.
Dawa ya ndoa.
Liko wapiNi mchungaji ana kanisa lake
My favourite songKuna ngoma yake taifa teule hatari Sana ile
Kanisa linaitwa HOFAN Ministries lipo Tegeta ALiko wapi
Basi nitaenda.Kanisa linaitwa HOFAN Ministries lipo Tegeta A
Mmmh! Hayupo Kenya huyo ndugu kweli?Kanisa linaitwa HOFAN Ministries lipo Tegeta A
Bila kumsahau Pastor KYANDE huyo alikua ni moto sanaHuyu Mtumishi wa Mungu aliekuwa akihudumu zaidi katika uimbaji nyimbo za injili ...alikuwa akisikika sana siku za nyuma na nyimbo zake zilikuwa na mafundisho mengi sana sio tu kwa watu walimpokea Bwana Yesu ila na wale ambao bado hawajampokea.
NYIMBO ZAKE:
Na nyimbo nyingine nyingi aliimba..Wadau wa Mziki wa injili haswa wale wa kuanzia miaka ya 2007 kurudi nyuma mtakuwa mnamkumbuka. Naomba mnijuze na muwazuje wadau juu ya huyu Mtumishi wa Bwana.
WachungajiBila kumsahau Pastor KYANDE huyo alikua ni moto sana
Kumbee Yuko dar, nikajua Mbeya!?Kanisa linaitwa HOFAN Ministries lipo Tegeta A
Kumbe wizoo uko vzr.....Kama wewe si ndege popo
Hayo mabawa ya Nini
Usiwe kama popo
Kanyumba kadogo
Watoto wakow wanapekua peku
Hiyo dhambi utaitubu wapi eeeh
Old days..
Jamaa alikuwa moto sana[emoji91]
Mimi mkongwe wizo😂Kumbe wizoo uko vzr.....