Yuko wapi D-Knob?

Ngoja kwanza mchumba natash
a usilonge fasta...Aaah mimi sio natasha!😍
Namkubali sana huyu jama kwenye folder labgu la bongo Old-school nina nyimbo zake kibao
Huo wimbo aliimba na Ray C, kabla Ray C hajaharibikiwa. Bonge ya ngoma moja matata sana
 
D knob ni kipaji kikubwa sana, Ila nafikiri muziki haukumlipa , jamaa alikuwa unique
 
D-knob ft Mwasiti..my fav

"Kichwa kwenye bega la..., ndinga tukicruise town.
Ni mshiko juu ya dashboard, traffic kuwacool down.
Mikasi kwenye radio, Ngwair rest in peace man.."

Long live D-knob.

-Kaveli-
 
1. Elimu mtaani,
2. Bad man,
3. Nishike mkono.

What's up Mr. Sahani na machizi wote wa Kiwalani.

-Kaveli-
 
Ni bro wng wa kitaa nipo naye yuko safi kabisa anafanya mishe zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…