Yuko wapi D-Knob?

Yuko wapi D-Knob?

Hivi kutakuja kutokea kizazi cha bongofleva kama hiki kweli?

D Knob
CPwaa(RIP)
Mangwea(RIP)
Matonya
Dudubaya
Mr Nice(Mzee wa TAKEU style)
Daz Baba(Daz Nundaz)
TMK Family
Tip Top Connection
Fid Q
Langa
TID
Prof Jay
Mwana FA
AY
Joh Makini
Bonta Maarifa
Chid Benz
Noorah

Na wengine wengi.

Kizazi cha hivi tutakitoa wapi tena wakuu.

Nimechoka kusikiliza hawa wabana pua kinoma, sio marapa sio waimbaji wote wanabana pua. Wazee wa SI WANAPENDA KUBANG[emoji1783]
Unforgetable
Haitatokea mkuu.
 
Sahani ndio jina lake. kwa kirefu anaitwa Innocent Sahani. Nahisi ni Msukuma huyu jamaa, kwa sababu hayo ni majina maarufu sana hapa usukumani.
Mshikaji very cool , nilikuwa namuonaga chuoni then akapotelea wapi sijui , kichwani kapiga unga unga
 
kwa kuwa hakuna mwenye taarifa zake na mimi sifahamu huku nikiwa nasubiri kijuzwa pia naomba niseme

d knob ndo DED wa kahama kwa sasa baada ya kupandishwa kuwa manispaa
 
Nasonga kistimu na ndoto keede aiii, elimu biashara tutasomaje uuuh aaah
 
Sauti ya gharama ft Mez B
Usiniache ft Mez B
Elimu mtaani
Bad man
Ingewezekana ft Ray C
 
Pandisha hapa Kama unazo
1- I'm bad man
2- Elimu mtaani[emoji3581]
3 - Ningekuwa wako
5 - Mr Sahani
6- Nishike mkono[emoji3581]
7 - Bora tumeacha a
8 - Sauti ya gharama[emoji3581]

[emoji3581]Nilizopata
[emoji91]
Screenshot_20210131-214616.jpeg
 
Back
Top Bottom