Yuko wapi Dj Mafuvu wa EATV na EA Redio??

Mkuu umeongea kweli sana aisee, ila punguza hasira daaah!
 
Kupiga radioni ni muhimu sana. Labda ana sababu zake za kutopiga kwasasa ...huu ndio wakati wake autumie sasa
 
Ila Kaka pale ni njaa. Yaani utaratibu wa kuona kwamba wewe mchango wako mkubwa akuongeze maslahi ni ngumu sana, pale jina tu lakini ujira hamna. Hivi unakumbuka mtangazaji maarufu wa habari Rehema Mwakangale (Rip) alipokufa ndio ikafichuka hali halisi ya ajira yake?
 
hali halisi ya ajira ya hayati rehema ilikuwaje
 
jamaa yangu hapo/Naantombe Mushi/naona unachozungumzia ni nadharia.unajua kwa nini dj fetty aliamua kuacha kazi pale clauds.au uliamini kilichoandikwa na kusemwa mbele ya media.kaka mjini hapana kijana anayekubali kuwa msindikizaji linapokuja suala la mafanikio.na kutumiwa..unakuta mfanyakazi katika ofisi fulani mvuto sana kiasi cha kutangaza kampuni husika..ila unufaikaji wake na mvuto alionao haviendani..sasa kwa nini asitumie character yake kujiajir.mafuvu alikuwa anatoa hela yake mfukoni kununua vifaa vya kisasa pale eatv ili ajibrand lakini ofisi haimsupport kwa lolote...ni mengi..ila kiufupi jua jamaa ni level nyingine kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…