Ngumu kumeza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 577
- 354
Mkuu umeongea kweli sana aisee, ila punguza hasira daaah!
Exposure unayopata ukiwa unasikika redioni ni kubwa mno. Maana unawapa mwanya watu na mashabiki kukukubali and guess what kama watu wanakukubali? Ile tayari ni CV kubwa tu ambayo kwa mda mchache ingeweza kumpatia mafanikio makubwa. Sasa sahiv anapiga kwenye hizo club anasikika na kina nani? Hata kama anapata pesa? Na isitoshe alivokuwa eatv pia alikuwa anapiga kwenye hizo clubs maana mda alikuwa nao. Hili ndo tatizo la wabongo wengi wanapohisi kuonewa badala ya kupambana na ku justify their claims wao wanaamua ku quit. Sasa yupo wapi?? Fucking shit..