Wapo wengi walitokea kwa style hiyo hiyo wengine wamefika hadi RC...uliza Dada yetu alietoka WAMA hadi RC....nae alizunguka na Mama wa 1 mstaafu alipomaliza tu akaanzia DC hadi akafika RC! Acheni Buho nae ale jasho lake!
Yupo Magogoni tangu baada ya uchaguziWanajamvi hamjambo? Katika uzi huu hurusiwi kuchangia kama hujaitika ujambo.
Du kumbe kutembea na wagombea hasa wa viti vya uraisi kunalipa kiasi hiki? Jana nikiwa sehemu nimejibanza maeneno ya Posta alikuja jamaa, akaniuliza samahani kaka, mimi nimetokea Kanyigo, nataka niende Ikulu, kwa mbali ikabidi nimwangalie, kumcheki vizuri amevaa suruali ya mchele mchele, shati ya kaunda, mkononi kashika bahasha imejaa alama za jasho, daaa, gafla nikamuuliza unafuata nini akanijibu namfata Imanuel Buhohela? Nikamjibu '' we Buhohela yupo, kwa mzee mengi kule ITV,'' alinikata jicho baya utadhani amekutana na wale masekeretari wa mawizarani na miwani yao katikati ya pua utadhani pua ndo haioni, kumbe viburi tu vya kutaka watu wawaone wamesoma kumbe masekretari wa upe.
Ndipo alipoitikia kijana mmoja mwandishi wa habari kwa haraka, wewe Sifileo vipi kaka? Mchizi yupo ikulu siku hizi anakula upepo, chezea kuzunguka nchi nzima wewe? Da pale pale nikasema sasa mzee mengi inabidi abadilike aache ubazazi wake kwa kutoa ajira za kibazazi maana kama media yake imetoa mwandishi wa ikulu si kazi ndogo.
Heko, Imma, msaidie Msigwa. Ila ikulu hicho sio kigezo pekee cha kuwaingiza watu, maana inasemekana kuna njomba alimperkea mtu kisa anajua kupika ugali wa kikwao. Karibuni hii ni taarifa hurusiwi kutoa maoni, ila baada ya hapo yule kijana tulimwelelekza ikulu kuwa aende kwa mbele atakuta mtaa unaitwa Baraka Obama, kijana aligoma kwa kusema tunamdanganya, haiwezekekeni ikulu ya nchi mtaa uitwe Obama, nikamjibu kuwa tulipokuwa tumefikia hata kitanda anacholalia kilikaribia kuitwa Dangote na si Kikwete.
Shaabani Panga(kisu)Ni dizaini ya akina Shabani Panga
Mkuu hiyo sehemu hata mimi nimecheka sanaSiJambo mkuu "... Miwani yao katikati ya pua utadhani pua ndo haioni" hapo Nimechecka mkuu thnx kwa taarrifa ya buho
Sasa unamfananisha na yule kampeni MANAJOR UCHWARA WA EDO john MREMA yule alikuwa anahutubia kwa kichagaa pale jangwani KWA kuunganisha clip za nyerere WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO WAS... Yapta ndani ya ccm watayatafuta nje ya CCMBuhoela Ni Kati ya watangazaji ambao hawajawahi kunivutia.
Hadithi ndefu ya nini,lengo nitujueWanajamvi hamjambo? Katika uzi huu hurusiwi kuchangia kama hujaitika ujambo.