Yuko wapi Emmanuel Buhohela?

Yuko wapi Emmanuel Buhohela?

WAMMA Dodoma? Kuna mmoja alikuwa ustawi wa jamii Dodoma wakati wa WaterAid, Maendeleo ya Jamii, Maji na Afya aliitwa Kudra. Nasikia naye alipewa u DC. Mhu chichemi.
 
Jamaa huyo akitumwa kutoa habari za uongo ziaminike kama ni kweli anaongea hadi kwa kigugmizi i huku macho yake yakiwa hayatulii kama kafumaniwa.
 
Huyo jamaa walikuwa marafiki na Magu hata kabla ya kuanza kampeni.
 
ndo siasa bna, nakumbuka mkutano magu kule monduli haukuonyeshwa kabsa. waliishia kumuonyesha akihutubia Arusha. mtumikie kafiri... vp michuz stly yupo ikulu??
 
Wapo wengi walitokea kwa style hiyo hiyo wengine wamefika hadi RC...uliza Dada yetu alietoka WAMA hadi RC....nae alizunguka na Mama wa 1 mstaafu alipomaliza tu akaanzia DC hadi akafika RC! Acheni Buho nae ale jasho lake!

funguka bna, itupe huo udakuuu
 
Ile kurugenzi inahitaji pia mtu anayeweza propaganda. Sijui ile kurugenzi imeanzishwa kwa utaratibu upi lakini inapendeza sana iwapo watumishi wake watakuwa wanamfahamu in detail bosi wao
 
Wanajamvi hamjambo? Katika uzi huu hurusiwi kuchangia kama hujaitika ujambo.

Du kumbe kutembea na wagombea hasa wa viti vya uraisi kunalipa kiasi hiki? Jana nikiwa sehemu nimejibanza maeneno ya Posta alikuja jamaa, akaniuliza samahani kaka, mimi nimetokea Kanyigo, nataka niende Ikulu, kwa mbali ikabidi nimwangalie, kumcheki vizuri amevaa suruali ya mchele mchele, shati ya kaunda, mkononi kashika bahasha imejaa alama za jasho, daaa, gafla nikamuuliza unafuata nini akanijibu namfata Imanuel Buhohela? Nikamjibu '' we Buhohela yupo, kwa mzee mengi kule ITV,'' alinikata jicho baya utadhani amekutana na wale masekeretari wa mawizarani na miwani yao katikati ya pua utadhani pua ndo haioni, kumbe viburi tu vya kutaka watu wawaone wamesoma kumbe masekretari wa upe.

Ndipo alipoitikia kijana mmoja mwandishi wa habari kwa haraka, wewe Sifileo vipi kaka? Mchizi yupo ikulu siku hizi anakula upepo, chezea kuzunguka nchi nzima wewe? Da pale pale nikasema sasa mzee mengi inabidi abadilike aache ubazazi wake kwa kutoa ajira za kibazazi maana kama media yake imetoa mwandishi wa ikulu si kazi ndogo.

Heko, Imma, msaidie Msigwa. Ila ikulu hicho sio kigezo pekee cha kuwaingiza watu, maana inasemekana kuna njomba alimperkea mtu kisa anajua kupika ugali wa kikwao. Karibuni hii ni taarifa hurusiwi kutoa maoni, ila baada ya hapo yule kijana tulimwelelekza ikulu kuwa aende kwa mbele atakuta mtaa unaitwa Baraka Obama, kijana aligoma kwa kusema tunamdanganya, haiwezekekeni ikulu ya nchi mtaa uitwe Obama, nikamjibu kuwa tulipokuwa tumefikia hata kitanda anacholalia kilikaribia kuitwa Dangote na si Kikwete.
Yupo Magogoni tangu baada ya uchaguzi
 
jamaa nampendaa sana hasa kwenye kile kipindi cha 45mn jamaa anaweza muacha ale maisha
 
Buhohela alikuwa ITV na sasa ikulu,bila shaka kazi yake ilikuwa nzuri chini ya uongozi wa ITV ndio maana akaonekana kwa wakubwa, nawashangaa sana wanao mbeza Mengi kuwa hakuisaidia ccm,hongera ITV/radio one mpo fair sana.
 
Amefanikiwa kulinganisha na alikokuwa, ila kulinganisha na enzi za mzee wa msoga ni njaa tupu sababu mzee wa hapa kazi tu akienda mbali yuko chato, sasa foreign perdiem zitatoka wapi, haya ndo mojawapo ya madhara ya majipu.
 
SiJambo mkuu "... Miwani yao katikati ya pua utadhani pua ndo haioni" hapo Nimechecka mkuu thnx kwa taarrifa ya buho
 
Buhoela Ni Kati ya watangazaji ambao hawajawahi kunivutia.
Sasa unamfananisha na yule kampeni MANAJOR UCHWARA WA EDO john MREMA yule alikuwa anahutubia kwa kichagaa pale jangwani KWA kuunganisha clip za nyerere WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO WAS... Yapta ndani ya ccm watayatafuta nje ya CCM
 
Wanajamvi hamjambo? Katika uzi huu hurusiwi kuchangia kama hujaitika ujambo.

Du kumbe kutembea na wagombea hasa wa viti vya uraisi kunalipa kiasi hiki? Jana nikiwa sehemu nimejibanza maeneno ya Posta alikuja jamaa, akaniuliza samahani kaka, mimi nimetokea Kanyigo, nataka niende Ikulu, kwa mbali ikabidi nimwangalie, kumcheki vizuri amevaa suruali ya mchele mchele, shati ya kaunda, mkononi kashika bahasha imejaa alama za jasho, daaa, gafla nikamuuliza unafuata nini akanijibu namfata Imanuel Buhohela? Nikamjibu '' we Buhohela yupo, kwa mzee mengi kule ITV,'' alinikata jicho baya utadhani amekutana na wale masekeretari wa mawizarani na miwani yao katikati ya pua utadhani pua ndo haioni, kumbe viburi tu vya kutaka watu wawaone wamesoma kumbe masekretari wa upe.

Ndipo alipoitikia kijana mmoja mwandishi wa habari kwa haraka, wewe Sifileo vipi kaka? Mchizi yupo ikulu siku hizi anakula upepo, chezea kuzunguka nchi nzima wewe? Da pale pale nikasema sasa mzee mengi inabidi abadilike aache ubazazi wake kwa kutoa ajira za kibazazi maana kama media yake imetoa mwandishi wa ikulu si kazi ndogo.

Heko, Imma, msaidie Msigwa. Ila ikulu hicho sio kigezo pekee cha kuwaingiza watu, maana inasemekana kuna njomba alimperkea mtu kisa anajua kupika ugali wa kikwao. Karibuni hii ni taarifa hurusiwi kutoa maoni, ila baada ya hapo yule kijana tulimwelelekza ikulu kuwa aende kwa mbele atakuta mtaa unaitwa Baraka Obama, kijana aligoma kwa kusema tunamdanganya, haiwezekekeni ikulu ya nchi mtaa uitwe Obama, nikamjibu kuwa tulipokuwa tumefikia hata kitanda anacholalia kilikaribia kuitwa Dangote na si Kikwete.
Hadithi ndefu ya nini,lengo nitujue
Imma yuko ikulu kikazi tunashukuru wengi waelewa humu usijichoshe siku nyingine.
 
Back
Top Bottom