Yuko wapi Faiza Foxy?

klorokwine

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
378
Reaction score
31
Wakuu,

Ni kitambo kidogo sijaona akichangia au akianza mada hapa JF member mwenzetu FaizaFoxy Au pengine yuko jimboni anaomba ridhaa ya wananchi wake?
 
Last edited by a moderator:
faiza fox njoo uone magamba menzako yanavyopukutika
 
Last edited by a moderator:
Mbona nilimuona mtu kama faiza fox kwenye mkatano wa yule mgombea, au ni macho yangu yalimfananisha.
 
Bila shaka unamzimikia bidada unashindwa kuweka wazi....feel free!! mwambie unampenda na unahamu naye
Jana alikuwepo humu kachangia weeeeee we huoni??
 
huyo bibi ata sitaki msikia kabisaa ikiwezekana ale ban ya miaka mia 90000
 
Bila shaka unamzimikia bidada unashindwa kuweka wazi....feel free!! mwambie unampenda na unahamu naye
Jana alikuwepo humu kachangia weeeeee we huoni??

Hayo kama hayakuniona hayana raha, halafu yanajidai tu.

Lakini nawapenda sana, wale wote wanaojidai kunikejeli humu ndio hao hao nilipopigwa ban walikuwa wa mwanzo kuniombea na kunitetea nirudishwe.

Wanajuwa wakinikosa panakuwa boring.
 
Wakuu,

Ni kitambo kidogo sijaona akichangia au akianza mada hapa JF member mwenzetu FaizaFoxy Au pengine yuko jimboni anaomba ridhaa ya wananchi wake?

Yeye ni mtu wa jimbo la Ilala.Kama jimboni ilala kuna mtia nia mwanamke, basi upo uwezekano akawa ni FaizaFoxy.
 
Last edited by a moderator:
Hayo kama hayukuniona hayana raha, halafu yanajidai tu.

Lakini nawapenda sana, wale wote wanaojidai kunikejeli humu ndio hao hao nilipopigwa ban walikuwa wa mwanzo kuniombea na kunitetea nirudishwe.

Wanajuwa wakinikosa panakuwa boring.

kumbe ulipigwagwa ban pole ndugu natamani nikujue ata sura tuu nitakua nimeridhika mwenyewe sikupendagi basi tuu sijui kwa nini but nkiona sura yako naweza badili mawazo
 
Hayo kama hayukuniona hayana raha, halafu yanajidai tu.

Lakini nawapenda sana, wale wote wanaojidai kunikejeli humu ndio hao hao nilipopigwa ban walikuwa wa mwanzo kuniombea na kunitetea nirudishwe.

Wanajuwa wakinikosa panakuwa boring.

Pole sana;

Binafsi nilikuwa sina taarifa kama ulipewa BAN. Ndio maisha ya ndani ya mitandao.

Lakini isiwe sababu ya kupotea muda mrefu hadi members tunaanza kuwa na hofu juu yako.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Aliyekupa hizo taarifa alikudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…