Yuko wapi Faiza Foxy?

Yuko wapi Faiza Foxy?

Hayo kama hayakuniona hayana raha, halafu yanajidai tu.

Lakini nawapenda sana, wale wote wanaojidai kunikejeli humu ndio hao hao nilipopigwa ban walikuwa wa mwanzo kuniombea na kunitetea nirudishwe.

Wanajuwa wakinikosa panakuwa boring.
Ukiona au ukisikia unaulizwa jua unapendwa
Just say Alhamdulillah..
 
Yuko likizo ya ban mkuu

Watu kama wewe ndiyo wanakurupuka na kuanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango bila hata ya kutazama tarehe za uzi wa lini.

Kwa watu kama wewe Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
 
Watu kama wewe ndiyo wanakurupuka na kuanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango bila hata ya kutazama tarehe za uzi wa lini.

Kwa watu kama wewe Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
faiza mama? siku nyingine uwe unatusikiliza sisi, vichwa!! mwanamke unatakiwa uwe na heshima na adabu pale wanaume wanapo kuonya na kukuelekeza njia sahihi! sasa naimani umejifunza maana banny imekufanya uwe mpole,mtulivu na mwenye kuludisha heshima pale vidume tunapo kukataza jambo! karibu inbox, umebadilika sana mama!!!
 
= buffalo
= ban
= kurudisha

Kuandika hujuwi na hata unachokisoma hukielewi, tazama tarehe ya huu uzi, uzi upo kabla hujaijuwa JF ni nini.

Punguani wahed.
 
Watu kama wewe ndiyo wanakurupuka na kuanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango bila hata ya kutazama tarehe za uzi wa lini.

Kwa watu kama wewe Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Sory nimekuelewa kote kasoro hapo kwenye kuhororoja
 
Katika watu ninaowaheshimu ni pamoja na wewe lakini unaanza kunisononesha pale unapoacha kumuelimisha mtu kitu akielewe ili siku nyingine nisikurupuke

Hivyo nilivyokujibu pia ni ilm kubwa sana nimekupa. Kuwa na subra.

Nimefurahi kusikia maneno matamu kutoka kwako, usijali tuko pamoja.
 
Hivyo nilivyokujibu pia ni ilm kubwa sana nimekupa. Kuwa na subra.

Nimefurahi kusikia maneno matamu kutoka kwako, usijali tuko pamoja.
Asante mama /dada uzidi kubarikiwa[emoji120]
 
Nataka kuhororoja
Kuhororoja
Kuhororoja
Kuhororoja
Kuhororoja
Kuhororoja
JF Raha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu,

Ni kitambo kidogo sijaona akichangia au akianza mada hapa JF member mwenzetu FaizaFoxy Au pengine yuko jimboni anaomba ridhaa ya wananchi wake?
Nipo, siku hizi nipo kwenye uzi wa majinni wenzangu:

Pole sana;

Binafsi nilikuwa sina taarifa kama ulipewa BAN. Ndio maisha ya ndani ya mitandao.

Lakini isiwe sababu ya kupotea muda mrefu hadi members tunaanza kuwa na hofu juu yako.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Nilikwenda Marekani kiumuona mzee Biden, yupo yupo tu kikili, ingawa siyo kitandani lakini dakika moja kisha kusahau. Anaweza kukuuliza jina la mtu waliyesomea nae utotoni kama ndiyo wewe.

Majanga.

Tumuombe Allah atupe meisho mwema, Yaani Biden hajui kama kama kajinyea au kajikojolea, anahitaji ungalizi kwa kila kitu.

Wamerekani wahuni sana kuendelea kumwacha mtu namna ile awe Rais.
 
Back
Top Bottom