Yuko wapi Faiza Foxy?

Yuko wapi Faiza Foxy?

Hayo kama hayakuniona hayana raha, halafu yanajidai tu.

Lakini nawapenda sana, wale wote wanaojidai kunikejeli humu ndio hao hao nilipopigwa ban walikuwa wa mwanzo kuniombea na kunitetea nirudishwe.

Wanajuwa wakinikosa panakuwa boring.
Hivi "ban" ni kifungo?
 
kumbe ulipigwagwa ban pole ndugu natamani nikujue ata sura tuu nitakua nimeridhika mwenyewe sikupendagi basi tuu sijui kwa nini but nkiona sura yako naweza badili mawazo
Mkuu umeongea cha kutoka moyoni, yaani upo kama mimi kuhusu huyu mama
 
natamani huyu faizafoxy apewe moderator humu JF....
kwa jinsi alivyo makini....
 
Back
Top Bottom