Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,935
- 1,185
Unafaa uwe kwenye blog za udaku special.
Nashukuru, kuanzia majumba ya urithi mpaka ya kujenga mwenyewe hakuna lililopo bondeni na hakuna liliothirika na ikitokea siku kuwa lipo litalobomolewa kwa kupitisha maendeleo basi ntakula mkwanja mzuri tu na sinto-sita kuachia kwa ajili ya maendeleo.
Shamba au niseme mashamba nna maeneno ya kulima mpaka mengine nilitoa offer humu JF kwa atakae kulima aje kulima na waliochukuwa fursa hiyo sasa wanafaidika, mambo swaaafi kabisa.
AlhamduliLlah nipo tena nashukuru nipo fit kabisa na hivi nipo busy kijijini natayarisha mashamba, ndiyo msimu wake huu.
Karibu maembe dodo, msimu ndio unamalizikia, huku kwetu embe dodo moja lilikuwa shillingi 200 sasa yamefika 300. Njooni fursa hiyo, Dar yanafika mpaka 1,000 kwa reja reja.
Bi mkubwa huwaga una point sema vijana wenzangu wanapenda kukupandisha presha. Ukija makao uje na zawadi.