Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

Hahaha 😂 Gwajiboy ni Jasusi la mbinguni. Familia ya wale wote wanaohusika wamejilaani maana hata enzi na enzi zinajulikana hakuna aliyeshindana na nguvu ya Mungu akatoboa. Death Death Death is coming kwa watawala, be assured. Sisi wakereketwa wa Dkt Magufuli tunao ushahidi, he is dead! 💀. So tega sikio, kama Dkt Magufuli died kwa kuminya demokrasia na kunyanyasa viongozi wa dini je nani atasimama????? Ni mtu mjinga tu na idiot will fight na watu wa Mungu. Uzuri mambo ya Mungu it can take sometimes ila nakuhakikishia lipo. Ushahidi ni mwingi wa waliokufa baada ya kugombana na viongozi wa dini. Rejea huu uzi ikitokea.
Magufuli alifariki kwa ugonjwa na sio demokrasia sijui,,wewe ni wake watu ambayo wako very much brainwashed kuamini vitu vya kijinga jinga,,
Mungu hahusiani na siasa iwe ya kidrmokrasia,kikomunisti au kirebelali🤗,
Vile vile ghwajima siyo mungu,,ni mnyantuzu mmoja tapeli tapeli kutokea ngudu mwanza
 
Polisi walimsubiri lango la mbele yeye akavaa gauni kama mwanamke alieshikwa pepo akipiga kelele akatolewa nje kihivyo

HII picha sio watumishi hawa ni mabodguard
 

Attachments

  • IMG-20250604-WA0021.jpg
    IMG-20250604-WA0021.jpg
    23.2 KB · Views: 18
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Thubutuuuu...
kajificha huyo anawachomekea wafuasi wake wasiojielewa
 
Hii ndio concern yangu kwa viongozi wa dini hapa Tanzania. Kama kuna viongozi wa dini wanyenyekevu, wanaojua mipaka yao, wanaojua kuwa kujua kuhubiri madhabahuni na kumtamka Yesu mara kwa mara hakukufanyi kuwa bingwa wa kila kitu hapa duniani, basi viongozi hao wamebaki wachache sana hapa Tanzania.

Wengi wa viongozi hawa ni wanasiasa part II; as long as kwenye dini kumeonekana kuwa sehemu nyepesi ya kuwafanya kuwa mabwanyenye na miungu watu kwa waumini wa makanisa yao basi wanafikifiri huo ubwanyenye watamfanyia kila mtu. No. Mungu yupo na huwainua wanyenyekevu na kuwapinga wenye kiburi. Sipendi jinsi dini (hasa ukristo wa madhehebu binafsi binafsi) zinavyoendeshwa hapa Tanzania.
Kukemee uovu ni pia ni kazi ya kiongozi wadini, kama wa kwako hakemei hilo nitatizo lenu
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Unamuabisha sana somo wetu LEO. Hakua na akili kisoda hivi.
 
Back
Top Bottom