Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

Hahaha 😂 Gwajiboy ni Jasusi la mbinguni. Familia ya wale wote wanaohusika wamejilaani maana hata enzi na enzi zinajulikana hakuna aliyeshindana na nguvu ya Mungu akatoboa. Death Death Death is coming kwa watawala, be assured. Sisi wakereketwa wa Dkt Magufuli tunao ushahidi, he is dead! 💀. So tega sikio, kama Dkt Magufuli died kwa kuminya demokrasia na kunyanyasa viongozi wa dini je nani atasimama????? Ni mtu mjinga tu na idiot will fight na watu wa Mungu. Uzuri mambo ya Mungu it can take sometimes ila nakuhakikishia lipo. Ushahidi ni mwingi wa waliokufa baada ya kugombana na viongozi wa dini. Rejea huu uzi ikitokea.
Magufuli Vs Askofu Niwemugizi
 
Mda ukifika sasa nijiunge na kanisa hili, nipate upako wa ujasusi wa Mbinguni, naamini kwa sababu alichofanya Bishop aliwahi kifanya moja ya Askofu wake Bishop mwanamapinduzi, kipindi akiwa na mh lissu wakitaka kwenda Ngorongoro, watu walikamatwa ila mwanamapinduzi aliyeyuka , na badae akatoa video akiwa porini ,alifikaje nyumbani kwake hatujui.

Elim ya dini ipo juu unaweza kuta ipo mistari au maneno ukitamuka unampita adui amepigwa ganzi anashutuka upo km mia
 
Hata Yosef na Maria wazazi wa Yesu waliambiwa waondoke haraka maana mtoto Yesu alikuwa hatarini kuuawa katika mikono ya mafilauni.

Kwa hiyo ni haki Gwajima kukaa mafichoni kwa muda akitafakari na kuendelea kumuomba Mungu wake.
 
Kwa taarifa kutoka kwa house girl wake,Yuko kwake kajifungia akikabiliwa na msongo mkubwa wa mawazo,kwani hakutarajia ofisi zake zinazomwingizia kipato zitafungwa zote kwa mkupuo
Daah wewe jamaa ni wa kitambo huku jf
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Kibao ana makosa gani? Je yupo wapi? Mdude pia?
 
Kwa Nini ajifiche?Atoke mafichoni kama kweli yeye ni askofu wa kweli
 
Mda utaongea msije kuja na nyuzi zenu za kulia Lia chawa tunawafahamu
 
Daah wewe jamaa ni wa kitambo huku jf
😂😂,jf niligundua 2008,,ila nilihangaika ku regist Hadi 2011,,ilihitaji email na kipindi hicho email yalikua mambo mageni..,so kabla ya jf vijiwe vyangu ilikuwa ni THE GRID na TOPFUN🤗
 
Hujui dunia , hata Rc nenda jaribu mgusa Askofu kindezi ,wapo masister utawakuta wako kwenye msafara wa Askofu sasa siku jichanganye, Fr kitima waliomshambulia wana bahati sana, ila ipo siku watajua hawajui
Unatokea mapori ya kijiji gani?
 
Aliyemshambulia psnde zote ni nani?Unaelewa maana ya pande zote?Acha ujingaujinga wewe kimburu.Kaa na ukoo wenu mumjibu Gwajima maswali yake.
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom