Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

Hujui dunia , hata Rc nenda jaribu mgusa Askofu kindezi ,wapo masister utawakuta wako kwenye msafara wa Askofu sasa siku jichanganye, Fr kitima waliomshambulia wana bahati sana, ila ipo siku watajua hawajui
Kuanzia aliyewatuma ambaye anajulikana
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Wewe kama una jinsia ya kiume, basi unatakiwa ujitafakari. Ila kama unatokea Kizimkazi kwenye chimbuko la vichambo na taarabu, hata sishangai.
 
ukiulizwa amekukosea nini, utakuta unajibu "kwa sababu ni mkristo" au ni mlokole. ila hauna jibu lingine. gwajima hajatenda kosa lolote, na amefanya kile kila mtanzania anatamani kusikia, kupinga utekaji na uuaji. Mungu ndiye hakimu wa kweli, hata ninyi mnaoshadadia wauaji na watekaji jueni yupo Mungu Mkuu wa wote, naye hadhihakiwi, anawaona, kebehi zanu anaziona, naye hutoa hukumu ya haki.
 
Kukemea maovu ni jukumu la watu wote,,kinachotutia shaka ni Hawa kina Bagonza,kitima,ghwajima Kila unapokaribia uchaguzi mkuu ndo wanakua machachari kwelikweli,,maana yake ni kuwa wanakuaga na ajenda zao,
Tumeshuhudia mauaji ya kimbari Rwanda yakichochewa na viongozi wa dini Kama Hawa Hawa kina ghwajima,,
Hivi ghwajima anaadhani huyo mama anaemsakama Hana watu siyo?.
Watu siyo wajianga bana
Watu sio wajinga bana, anasomeka kama kioo. Kujiita jasusi la mbinguni kunazidi kujidhihirisha ujinga ule ule wa kujivika utukufu na kujifanya miungu watu ili kuwapiga waumini wao pesa. What the hell does "jasusi wa mbinguni" even supposed to mean?

Maovu yapo, utekaji upo, binafsi nikiri kwamba labda niko biased against viongozi wa dini style za akina Gwajima kiasi kwamba hata kama anachokisema ni kweli, I dont trust kama anakisema kwa nia njema. Hawa watu wanawatapeli mno waumini wao na utapeli kwangu ni uovu namba moja kabla sijaenda kwa maovu mengine.
 
😂😂,jf niligundua 2008,,ila nilihangaika ku regist Hadi 2011,,ilihitaji email na kipindi hicho email yalikua mambo mageni..,so kabla ya jf vijiwe vyangu ilikuwa ni THE GRID na TOPFUN🤗
😀😀😀 Hatari sana
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?
Wewe humuogopi kichaa aliyeshika panga?
Kama uko hivyo, ina maana na wewe ni kichaa vilevile, kama mada yako inavyo elekea kujieleza yenyewe.
 
Watu sio wajinga bana, anasomeka kama kioo. Kujiita jasusi la mbinguni kunazidi kujidhihirisha ujinga ule ule wa kujivika utukufu na kujifanya miungu watu ili kuwapiga waumini wao pesa. What the hell does "jasusi wa mbinguni" even supposed to mean?

Maovu yapo, utekaji upo, binafsi nikiri kwamba labda niko biased against viongozi wa dini style za akina Gwajima kiasi kwamba hata kama anachokisema ni kweli, I dont trust kama anakisema kwa nia njema. Hawa watu wanawatapeli mno waumini wao na utapeli kwangu ni uovu namba moja kabla sijaenda kwa maovu mengine.
Sijawahi kuvutiwa na viongozi wa dini wa aina ya Gwajima hata siku moja.
Yale aliyoyasema wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, ilitosha kabisa kukaa pembeni na kusikiliza walengwa wakihangaika nayo.
Sasa, hayo ya nyongeza ya baadae, yakamwonyesha zile tabia zisizokuwa na maana yoyote katika jamii.
 
M
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Mhhhh gwajima kasanuka Bado Dona tamu
 
Cheka sasa na umalize kicheko chako chote, maana saa ya kulia na kusaga meno iko mbele yako wewe na wenzako

Dhihaki sana kwa sasa maana saa ya aibu yenu iko mbele yako na wenzako

Yesu Kristo alilazimika kumkimbia mfalme Herode (ambaye leo ni kama Rais Samia) ili asimkamate na kumfanyia ubaya (kumuua) kabla ya wakati wake, akaenda Misri na kuishi huko kama mkimbizi wa kisiasa, mpaka Herode alipokufa

Yesu Kristo aliporudi Israel (Uyahudini), alifagia kila uchafu wa watawala walevi wa madaraka...

Askofu wetu Josephat Gwajima ni mtumishi wa Mungu wa kweli, mwana wa Mungu na ni mfalme (Rais) wa Tanganyika

Huyu mama yenu, ni wakati tu lakini kwa kuwa hataki kusikia na kuelewa halafu achukue uamuzi sahihi wa kuokoa roho na maisha yake badala yake anadhani yeye na watu wake ataendelea kuwa hapo alipo basi tambueni hii leo kuwa HAKIKA ATAKUFA HUYU NA TUTAZIKA KAMA TULIVYOZIKA MTANGULIZI WAKE John P. Magufuli MWANZILISHI WA UMWAGAJI DAMU wa watu wa Mungu wasio na hatia!!
 
Gwajima alifanya vyema kuzungumzia jambo baya la utekaji, historia itamkumbuka kwa huu ujasiri.
 
Wewe kama una jinsia ya kiume, basi unatakiwa ujitafakari. Ila kama unatokea Kizimkazi kwenye chimbuko la vichambo na taarabu, hata sishangai.
Matusi yako yanaonyesha wewe ni nani. Ficha uzwazwa na uonyeshe hekima. Shame on you!
 
Cheka sasa na umalize kicheko chako chote, maana saa ya kulia na kusaga meno iko mbele yako wewe na wenzako

Dhihaki sana kwa sasa maana saa ya aibu yenu iko mbele yako na wenzako

Yesu Kristo alilazimika kumkimbia mfalme Herode (ambaye leo ni kama Rais Samia) ili asimkamate na kumfanyia ubaya (kumuua) kabla ya wakati wake, akaenda Misri na kuishi huko kama mkimbizi wa kisiasa, mpaka Herode alipokufa

Yesu Kristo aliporudi Israel (Uyahudini), alifagia kila uchafu wa watawala walevi wa madaraka...

Askofu wetu Josephat Gwajima ni mtumishi wa Mungu wa kweli, mwana wa Mungu na ni mfalme (Rais) wa Tanganyika

Huyu mama yenu, ni wakati tu lakini kwa kuwa hataki kusikia na kuelewa halafu achukue uamuzi sahihi wa kuokoa roho na maisha yake badala yake anadhani yeye na watu wake ataendelea kuwa hapo alipo basi tambueni hii leo kuwa HAKIKA ATAKUFA HUYU NA TUTAZIKA KAMA TULIVYOZIKA MTANGULIZI WAKE John P. Magufuli MWANZILISHI WA UMWAGAJI DAMU wa watu wa Mungu wasio na hatia!!
Acha uzwazwa na usitutishe wala hatutishiki wala kustuka. Acha apate stahiki yake kwa waliomuumba kisiasa akajiumbua mwenyewe kwa tamaa na uzwazwa. Na bado.
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Unataka wa nn? Na we itakusaidia nn?
Muachage ushabiki usio Kuna na maana
 
Sijawahi kuvutiwa na viongozi wa dini wa aina ya Gwajima hata siku moja.
Yale aliyoyasema wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari, ilitosha kabisa kukaa pembeni na kusikiliza walengwa wakihangaika nayo.
Sasa, hayo ya nyongeza ya baadae, yakamwonyesha zile tabia zisizokuwa na maana yoyote katika jamii.
Ni kipi kilikukwaza kwenye kauli yake ya pili ndani ya kanisa lake?

Ni sehemu aliyoitolea (kanisani) au ni maneno yake kujibu hoja za waliomshambulia?

Ndugu Kalamu ulitaka anyamaze hata baada ya kushambuliwa ktk namna ya kumdhalilisha kwa kosa ambalo actually halipo?

Hapana. Kama unachukia imani yake na staili yake ya kuhubiri, hilo ni tatizo lako. Lakini yote aliyoongea kwenye PC ya trh 24/5/2025 au juzi kanisani kwake ni fact tupu. Hayo ndiyo yamewakera jamaa wa Futungo State au Parallel State..
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Unakazwa na mafwele wewe queer
 
Ajabu, yeye na wakili wake wote viazi tu wamekutana pipa na mfuniko
 
Back
Top Bottom