Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

Acha uzwazwa na usitutishe wala hatutishiki wala kustuka. Acha apate stahiki yake kwa waliomuumba kisiasa akajiumbua mwenyewe kwa tamaa na uzwazwa. Na bado.
Zwazwa ni wewe ambaye unayatazama mambo ktk frequency zinazoishia kisogoni kwako tu

Na wewe nakuuliza swali hilohilo: Huu ujinga wako uliouleta hapa kumbe unamtisha nani ndugu Leo X ?

Sikiliza ndugu

Sisi wengine tunatazama kila tukio, kila kauli na kila jambo la nchi hii ktk frequency beyond normal human imaginations!

Kama wewe unatutisha sisi kwa ujinga huu (hata hivyo no body can take that rubbish). Lakini haya unayosoma na yakutishe kwa usawia wake ili kama una akili njema, ukimbie na ujiokoe nafsi yako!
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Gwajima ni project
 
Nimesoma pumba na vitisho vyako na sikpata la kujibu zaidi ya kushangaa kama kweli kichwa chako kina ubongo timamu au uoza tu kama siyo makamasi. Sina la ziada zaidi ya hili.
 
Unataka wa nn? Na we itakusaidia nn?
Muachage ushabiki usio Kuna na maana
Tunataka athibitishe ujasiri na ukweli vyake na si woga japo hoja yake ina mashiko. Anaogopa nini kama hajavunja sheria au kuna zaidi ya haya? Nadhani anajua alivyokuwa akiishi kwa utapeli wa kidini na kisiasa na sasa waliomuunda wameamua kumfumua.
 
Nimesoma pumba na vitisho vyako na sikpata la kujibu zaidi ya kushangaa kama kweli kichwa chako kina ubongo timamu au uoza tu kama siyo makamasi. Sina la ziada zaidi ya hili.
Kama wewe ni msoma Quaran ya Kiislamu huwezi kujua wala kuona point yoyote. Hilo, nakusamehe na kukuonea huruma:

Mwisho: Jua tu kuwa Askofu wangu Mch. Josephat Mathias Gwajima, mtumishi wa Yesu Kristo, Mungu aliye hai, yupo ndani ya DSM lakini hakuna mkono wa uovu unaweza kumfikia kwa sasa.

Msikilize Wakili wa Kanisa la GCTC, Peter Kibatala akikupa ufahamu ili utoe ujinga ktk kichwa chako hicho👇🏻👇🏻

View: https://youtu.be/l1ldOGWzVgE?si=al2FdP0HL0UE0ToG
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Mwache jajusi letu,mnafikiri gwajima ni mdude
 
Ni kipi kilikukwaza kwenye kauli yake ya pili ndani ya kanisa lake?

Ni sehemu aliyoitolea (kanisani) au ni maneno yake kujibu hoja za waliomshambulia?

Ndugu Kalamu ulitaka anyamaze hata baada ya kushambuliwa ktk namna ya kumdhalilisha kwa kosa ambalo actually halipo?

Hapana. Kama unachukia imani yake na staili yake ya kuhubiri, hilo ni tatizo lako. Lakini yote aliyoongea kwenye PC ya trh 24/5/2025 au juzi kanisani kwake ni fact tupu. Hayo ndiyo yamewakera jamaa wa Futungo State au Parallel State..
Kiongozi wa dini lazima awe mnyenyekevu na msamehevu,kiongozi wa dini huwezi kuwa unarumbana na wanasiasa na kuwaita ponjoro,,yule ni muhuni
 
Aah🤔🤔

Hiki ndicho unachoelewa wewe kwa sababu hujui kuwa hujui

Linapokuja swala la dhambi na udhalimu dhidi ya haki ni kuchukia na ni kumkemea kwelikweli shetani

Yesu Kristo alishawahi kumwambia Petro (miongoni mwa wanafunzi wake 12) "Rudi nyuma yangu shetani". Huyu Samia kwa macho ya kibinadamu ni kama binadamu unapomtazama, lakini in actual sense ni shetani ktk sura ya mwanamke-binadamu

Yesu Kristo ameshawahi kuingia hekaluni na kukuta badala ya hekalu kutumika kwa ibada ya Mungu aliye hai, wao wamegeuza nyumba ya kufanyia ulanguzi, ufisadi na uchafu wa kila namna. Aliwacharaza wote viboko waliohusika na unajisi huo

Kumbuka hekalu kwa tafsiri nyingine ni mwili wako wewe Elungata. Huo mwili wako unautumia kufanyia nini? Unautunza? Au unautumia kuuchafua kwa Uasherati na uzinzi? Ufisadi? Mwizi? Mtukanaji? Usengenyenyaji? Kupanga kuwatendea wengine uovu? Kuiba kura?

Ndugu Elungata Kama unautumia mwili wako (hekalu la Mungu) kwa hayo hapo☝🏻☝🏻☝🏻juu, basi unastahili kuchalazwa viboko na Yesu Kristo!!

Askofu Josephat Gwajima alikemea utekekaji na mauaji ya watu wasio na hatia pasipo kuzingatia sheria

Aidha aliwakemea watu dizaini ya mbunge Abbas Tarimba (ponjoro), Kesheku Msukuma na wengine wanaoshabikia uovu na kumshambulia mtumishi wa kweli wa Mungu!!
 
Watu sio wajinga bana, anasomeka kama kioo. Kujiita jasusi la mbinguni kunazidi kujidhihirisha ujinga ule ule wa kujivika utukufu na kujifanya miungu watu ili kuwapiga waumini wao pesa. What the hell does "jasusi wa mbinguni" even supposed to mean?

Maovu yapo, utekaji upo, binafsi nikiri kwamba labda niko biased against viongozi wa dini style za akina Gwajima kiasi kwamba hata kama anachokisema ni kweli, I dont trust kama anakisema kwa nia njema. Hawa watu wanawatapeli mno waumini wao na utapeli kwangu ni uovu namba moja kabla sijaenda kwa maovu mengine.
Wanatapeli waumini vipi waibaji wa kura?
 
Kiongozi wa dini lazima awe mnyenyekevu na msamehevu,kiongozi wa dini huwezi kuwa unarumbana na wanasiasa na kuwaita ponjoro,,yule ni muhuni
Hakua watu washenzi kama Wanasiasa wahuni ni kwenda nao kihuni
 
Gwajima ana mke, kinachokuwasha hadi umtafute mume wa mwenzio kuanzia kanisani hadi bungeni ni nini?
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Hata Mungu alimuepusha Yesu kuuwawa na Herode akawafanya Mamajusi wabadilishe njia. Gwajima anajua kilichompata Boni Mwangi wa kenya anajiepusha na hilo na Mungu atamlinda tu. Nchi imeharibika bwana
 
Ni kipi kilikukwaza kwenye kauli yake ya pili ndani ya kanisa lake?

Ni sehemu aliyoitolea (kanisani) au ni maneno yake kujibu hoja za waliomshambulia?

Ndugu Kalamu ulitaka anyamaze hata baada ya kushambuliwa ktk namna ya kumdhalilisha kwa kosa ambalo actually halipo?

Hapana. Kama unachukia imani yake na staili yake ya kuhubiri, hilo ni tatizo lako. Lakini yote aliyoongea kwenye PC ya trh 24/5/2025 au juzi kanisani kwake ni fact tupu. Hayo ndiyo yamewakera jamaa wa Futungo State au Parallel State..
Siongelei 'facts', hilo unalielewa na wala lisingekuwa swali la kuniuliza mimi.
Na wala sikutaka "anyamaze" kama unavyo pendekeza wewe.

Na sijui hilo la "kuchukia imani yako" hizo ni akili zako, siyo zangu.

Kama ni mahubiri ya kanisani kwa mtindo huo; basi yawe ya huko kanisani, siyo ya huku nje ya kanisa.

Nimeeleza toka mwanzo, mbali ya haya aliyoyaibua kwenye PC, ambayo ni maswala muhimu sana ya nchi; sijawahi kumfikiria Gwajima kuwa katika watu ambao nilitegemea kuonyesha ujasiri aliouonyesha kwenye hiyo PC, tena kwenye swala linalogusa hisia kubwa kwa taifa zima.

Inawezekana huwezi kunielewa ninacholenga kukiwasilisha. Ngoja nitumie mfano mwingine: kuna watu ambao kwa sababu moja au nyingine inatokea tu kuwa sina matumaini makubwa juu yao. Mfano nilionao ni wa mtu mwingine katika kundi hilo hilo..., Joseph Kasheku (Mbunge), au Bashite, aka Makonda. Hawa si wahubiri, na wala hawana imani yao inayonifanya nisiwaweke katika kundi la watu makini.
Sasa imetokea hivyo hivyo na kwa huyu Gwajima; lakini yeye kajipambanua kwa sababu zake mwenyewe kuibuka na swala zito linalolihusu taifa letu.
Kujibu ni sahihi, lakini siyo katika mtindo ule uliotumika kanisani.
Nje ya kanisa, alieleweka vizuri tu; na angeeleweka vile vile majibu yake yangeendelea kuwa katika mtindo ule wa nje ya kanisa.

nakumbuka sana maongezi yetu kati yetu mkuu 'Uzima' toka huko siku za nyuma.
Kwa hiyo nielewe, kama mimi; kama unavyotaka mimi nimwelewe Gwajima kama Gwajima.
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Labda utueleze mchambuzi, kwani waliotekwa na kuuawa walifanya kosa gani kisheria, mbona hawakukamatwa na kufikishwa mahakamani?
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Wenye namba za wale maaskofu wenza azimwage hapa tafadhali tumsake tuwone na tumjulie hali huyu mwamba.
 
Wanatapeli waumini vipi waibaji wa kura?
Sasa kwani Gwajima ye ni mbunge wa chama gani? Si kile kile kinachoiba kura? Je yeye aliingia bungeni kwa uchaguzi halali? Leo hii anapojinasibu na kukemea maovu anasahau jinsi hata namna yake ya kuingia bungeni, kwanza kwa kampeni za kilaghai kabisa kuwadanganya watu kwa ahadi za kitoto kabisa, kabla ya ulaghai wa kimfumo enzi za Magufuli kumhakikishia anaingia bungeni, ndio mzizi wa uovu anaoukemea leo?

Leo hii anataka kukata tawi la mti alioukalia eti anakemea utekaji?

Msiwe watu wepesi kihivo.
 
Back
Top Bottom