Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Ndugu zangu watanzania kwa post hii nawakumbusha kuwa ...
Condom ni muhimu sanaa, sio kila K tunamwagia ndani.
Sperm nyengine hutuletea vilazaaaa kama hivi.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sijui kama kuna kilaza na zwazwa kama wewe ambaye unashindwa hata kuunganisha dots mbili. Why now not then? Kumbaff kabisa mafi ya kuku.
 
Labda utueleze mchambuzi, kwani waliotekwa na kuuawa walifanya kosa gani kisheria, mbona hawakukamatwa na kufikishwa mahakamani?
Hawakutenda kosa lolote zaidi ya kujitambua na kudai haki zao na zetu. Kinachogomba kwa Gwajima ni ile hali ya kulala kitanda kimoja na CCM halafu kunakaribia kucha anachoropoka na kujifanya hakuwa nao akiua na kuteka. This is real bad.
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Utwambie wewe, mmeshamteka au bado?
The united republic of gangster....
 
Hawakutenda kosa lolote zaidi ya kujitambua na kudai haki zao na zetu. Kinachogomba kwa Gwajima ni ile hali ya kulala kitanda kimoja na CCM halafu kunakaribia kucha anachoropoka na kujifanya hakuwa nao akiua na kuteka. This is real bad.
Kwa hiyo bado ni mtu mbaya kujipambanua kuwa yupo nasi katika kulaani vitendo hivyo siyo?

Kumlaumu kwamba yupo kwenye Serikali hiyo ya chinja chinja na kwa nini hajasikika akilaani akiwa humo humo? :

Hilo alilitolea maelezo yanayojitosheleza katika 'press' yake ya kwanza, kwamba hakuna platform ambayo ingelimpa muda wa kuwasilisha hoja yake ya namna hiyo kwa ufanisi na akaeleweka.

Na akaongezea kuwa huwa hakurupuki kueleza jambo mpaka awe kalifanyia utafiti wa kutosha, je alitakiwa kutafiti kwa muda gani, mi'nawewe hatuna majibu.

Sote ni mashahidi kushuhudia Tulia anavyokandamiza hoja za wabunge zinazohusu kutetea maslahi mapana ya wananchi.

Ulisikia juzi juzi hapa alivyohojiwa kuhusu suala la watekaji na namna alivyolijibu, je angemruhusu mbunge akalidadavua kama alivyodadavua Gwajima?

Unakumbuka 'saga' la sukari ya Bashe namna lilivyochukuliwa?

Sisi tunasema kwamba hata shetani kama anatutetea wananchi tusio na mtetezi, basi huyo ni wetu tutamuunga mkono.
 
Kwani wanasiasa siyo watu wa Mungu au umechanganya mambo kama siyo kukuchanganya ukachanganikiwa?
Kuwa mwanasiasa hakukunyimi sifa ya kuwa mtu wa Mungu, bali sifa hiyo inapotea utakapo tumia uanasiasa wako kutenda yaliyo kinyume na mapenzi ya Mungu kama Kuteka au kunyamazia utekaji, mauaji au kulinda uuaji kwa ajili ya cheo chako na hata wizi na ufisadi wa mali za wanyonge.
 
Hahaha 😂 Gwajiboy ni Jasusi la mbinguni. Familia ya wale wote wanaohusika wamejilaani maana hata enzi na enzi zinajulikana hakuna aliyeshindana na nguvu ya Mungu akatoboa. Death Death Death is coming kwa watawala, be assured. Sisi wakereketwa wa Dkt Magufuli tunao ushahidi, he is dead! 💀. So tega sikio, kama Dkt Magufuli died kwa kuminya demokrasia na kunyanyasa viongozi wa dini je nani atasimama????? Ni mtu mjinga tu na idiot will fight na watu wa Mungu. Uzuri mambo ya Mungu it can take sometimes ila nakuhakikishia lipo. Ushahidi ni mwingi wa waliokufa baada ya kugombana na viongozi wa dini. Rejea huu uzi ikitokea.
Hivi kwanini jamaa hakumfufua mpendwa wetu Jiwe, yeye si nimfufuaji au ilikuwa mambo ya nitoke vipi?
 
Hili fukutu ni kama linatu-mislead (linatupumbaza) nahisi kuna jambo maalum linaendelea hawataki raia tulifahamu.
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛

Subiri, anajipanga.
 
mbona unatuuliza sisi umeanza kutembea na kilainishi? maana mmeshanogewa kuchezea mafi
 
Namaanisha unapoanzisha vita na viongozi wa dini unapambana na Mungu mwenyewe!
wacha kutupiga kamba wewe, Mungu hajaambia viongozi wa dini wazungumze siasa. Halafu hao viongozi wenyewe wamejichagua na kujibandika hizo titles.
 
Yani matukio yote huwa yanafanyika bila ushahidi wakutosha kumtia mtu hatiani ila Lile la Mzee kibao kushushwa kwenye gari kwenda kuuwawa na la mdude inafikirisha sanaa...mpaka unajiuliza hivi vyeo tunaenda navyo wapi ikifika mwisho wa uhai wetu?? hakika uchu wa madaraka hauachagui kabisa.
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Anachokifanya ni sahihi kwasababu anawatetea wananchi wanaotekwa na kupotezwa bila hatia ila wanaoteka na kupoteza watu wanaona anachokifanya si sawa
 
Subiri, anajipanga.
Kama Yuko uraiani,ni wazi kuwa ghwajima hakutegemea kabisa hili la kufutwa taasisi yake,Ina maana anajua akichomoza Tena na kamdomoo,atarundikwa ndani na atapoteza mda mwingi sana..
 
Usemacho ni kweli. Mara nyingi, matapeli kama hawa hujichimbia kaburi bila kujua. Tangu mwanzo, wengi wenye akili walijua fika hili ni tapeli la kawaida. Alianza kuharibikiwa alipopata tamaa ya uheshimiwa asijue watachafuana kama ilivyotokea. He played God and now God is punishing him. Kumbuka lile tapeli la kinigeria TB Joshua?
 
Back
Top Bottom