Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

Yuko wapi Gwajima na anaogopa nini wakati anachofanya si kosa?

Umetumwa kuuliza swali kimtego ili watu waseme hideout yake?

Yaani mama yenu anakula nyundo sasa Kenya, Uganda, Tanzania.

Hoja za Gwajima hadi sasa hakuna chawa, kunguni, mpambe, kidampa wa Samia amezijibu .

Na mimi nakuuliza mleta mada kama baba yako au mtoto wako angetobolewa macho na kumwagiwa tindikali mnaokota maiti ungejisikiaje?
IMG-20250604-WA0000.jpg
 
Kabla ya kua

Ule utapeli wanaowafanyia waumini wao kuwavuna pesa ni miujiza feki sio uovu?
Kukemea maovu ni jukumu la watu wote,,kinachotutia shaka ni Hawa kina Bagonza,kitima,ghwajima Kila unapokaribia uchaguzi mkuu ndo wanakua machachari kwelikweli,,maana yake ni kuwa wanakuaga na ajenda zao,
Tumeshuhudia mauaji ya kimbari Rwanda yakichochewa na viongozi wa dini Kama Hawa Hawa kina ghwajima,,
Hivi ghwajima anaadhani huyo mama anaemsakama Hana watu siyo?.
Watu siyo wajianga bana
 
Baada ya kulaaniwa na kushambuliwa pande zote, Josephat Gwajima haonekani. Si kanisani kwake wala bungeni. Je anakimbia na kuogopa nini wakati alichosema si makosa wala kinyume cha sheria? Je ameretreat ili kuadvance au ndo imetoka hiyo?

Laiti angejikumbusha alivyozimwa Job Ndugai, bila shaka, asingeongea bila kinywa na kichwa kuwasiliana. Kama Gwajima yumo humu au mawakala wake, basi mwambieni ajitokeze. Mfano, aliahidi angehudhuria kesi ya Lissu. Hakuonekana.

Amekuwa akijisifia kuwa haogopi na analindwa na Mungu, na si waumini wake, haonekani. Je ameamua kuogopa au kujifisia ujabali ilikuwa ni danganya toto na kutafuta ujiko kama alivyowahi kusema kuwa cheo chake cha Askofu wa kujipachika ni kikubwa kuliko hata urais akaishia kuramba matapishi yake kwa kupwakia ubunge tena wa kupewa na Magufuli? Please, Bwana Gwajima.

Kama wewe mrume kweli na msema kweli jitokeze tukuone na tuone watakufanya nini. Ila wakati ukiamua, kumbuka kuna wasiojulikana. 😛😛😛😛😛😛😛
Haya ndiyo mnayoyaweza watanzania.

Sishangai kwanini watu wa kale walishangilia yesu aliposulubiwa na hakuwa na kosa lolote
 
Mzee wako alipoteza Mbegu zake bure kabisa🤣
 
Ndivyo project na script ilivyokusudiwa kuchezwa!atarudi baada ya hitimisho kuu kutimia Ili ionekane maombi yamejibiwa!

Maombi Kwa wanakitengo ni kichaka Cha utekelezaji yaliyopangwa sirini!!

Hadi Sasa matokeo ya mtego uliokusudiwa yamefanikiwa Kwa asilimia zote!!

Tusubiri,Kuna kitu nimekiona Kwa script hii!!
 
Haya ndiyo mnayoyaweza watanzania.

Sishangai kwanini watu wa kale walishangilia yesu aliposulubiwa na hakuwa na kosa lolote
Usimlinganishe barba na Yesu. Gwajima hana ukombozi zaidi ya njaa na unafiki. Kwani yeye ni wa kwanza kulisemea au tunachezewa machezo?
 
Aliyemshambulia psnde zote ni nani?Unaelewa maana ya pande zote?Acha ujingaujinga wewe kimburu.Kaa na ukoo wenu mumjibu Gwajima maswali yake.
Wewe tueleze maana ya pande zote. Nadhani namaanisha kisiasa na kiimani mbali na kimsimamo hata kimaslahi. Sasa utakuwa umeelewa.
 
Pole sana kama ulikuwa unasubiri action kama Tamthilia ya Ndoa ya Mateso. Reality show hii ina vipindi vya kimya pia. Let the bishop cook. 😎
 
Hata Yosef na Maria wazazi wa Yesu waliambiwa waondoke haraka maana mtoto Yesu alikuwa hatarini kuuawa katika mikono ya mafilauni.

Kwa hiyo ni haki Gwajima kukaa mafichoni kwa muda akitafakari.
Ameufyata. Tuseme ukweli.
 
Ni kweli kwa fikra zako ila hapa Afghanistan ukiwa mkweli we ndo adui mkubwa zaidi
 
Back
Top Bottom