Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

Yuko wapi Henry Kisanduku aliyemnyooshea Nape bastola?

Mara Henry Kisanduku mara Gilbert Kalanje.

Nape alitishiwa bastola na watu wangapi?
 
Halafu kuna wale maafande vijana waliokuwa wanatafuta sifa za kijinga kwa kutishia kumpiga risasi Adam Malima.

Nataka nijue wako wapi hivi sasa. Walipandishwa vyeo baada ya tukio lile? Walisimamishwa kazi? Waliondolewa Dar na kupelekwa mikoa mingine?.

Ila kama taifa tulifika pabaya sana, Mungu alifanya vyema kutuondolea yule shetani.

Ila polisi wetu jamani...
 
Ubaya ubayani munich .. inabidi amtupe hata aka kumi.. ainjoy
 
Back
Top Bottom