Yuko wapi Humphrey Polepole?

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
Wakuu,

Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule, mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo

Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole hajapata kuonekana popote pale.

Si vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii, amepotezwa kishamba kwelikweli.


 
Polepole usiwe na haraka
 
Polepole can bounce back,watanzania ni watu wakusahau sana
 
Yeye sahivi ni mbunge wa viti maalum
 
Yupo hoi bin taabani
 
Aonekane wapi mkuu!!! Labda awe mpinzani bungeni agonge meza na mishipa ya uso imtoke akiongea hoja!!!! Kwisha habari yake!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…