Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Ilikuaje wakwako kaubakiza.Polepole bado hajapata pigo, bado kabisa kuna pigo linamsubiri maana ameshiriki kudhulumu uhai wa watu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuaje wakwako kaubakiza.Polepole bado hajapata pigo, bado kabisa kuna pigo linamsubiri maana ameshiriki kudhulumu uhai wa watu!
Tofauti ni boxer na skin tightKwa hiyo ana tofauti gani na wale wa covid 19?
Ataonekana pale atakapokuwa anahitajika na si kupiga debe kama mtangulizi wake .Chama chetu kwa sasa kina viongozi na sio wababaishaji ambao kimsingi sio wanaccm kindakindaki kama alivyokuwa Bashiri na Polepole .Hawa walitumika sana wakati wa mchakato wa katibu kutetea wasichokijuaAlikuwa anaonekana kipindi kile kwasababu nafasi yake na majukumu yake ya kipindi hicho yalimfanya aonekane mara kwa mara. Sasa hayo majukumu anayo Shaka Hamdu Shaka. Cha kujiuliza, huyo Shaka Hamdu Shaka anaonekana? Kama haonekani kwanini?
He came, he sawa, he conqured!Wakuu,
Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule, mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo
Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole hajapata kuonekana popote pale.
Si vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii, amepotezwa kishamba kwelikweli.
Believe that and you'll believe anything!Ataonekana pale atakapokuwa anahitajika na si kupiga debe kama mtangulizi wake .Chama chetu kwa sasa kina viongozi na sio wababaishaji ambao kimsingi sio wanaccm kindakindaki kama alivyokuwa Bashiri na Polepole .Hawa walitumika sana wakati wa mchakato wa katibu kutetea wasichokijua