Yuko wapi Humphrey Polepole?

Yupo hoi bin taabani
Kivip labda...!!😁😲
Kama vii eite analo la kwake na sio Lile la chama Tena..
Kama maslahi kule CCM alikuwa na mshahara wa 1m... Sasa hivi Ana 12m za ubunge, bado posho za semina zisizoisha Kyle bungeni . Kwanza Mbunge wa viti maalum Hana Jimbo hachangii shule zahanati Wala kuwajali wapambe..!!!
Ana exposure na influence ya kuingia na kumuona yeyote serikalini

Kitu pekee kilichopungua Ni mamlaka na madaraka, lakini maslahi yameongezeka mara 10 kwenye mshahara. Kamuulize John Mnyika akipewa achague ukatibu mkuu na ubunge atachagua nini.!??
Hata Slaa alipoombwa abaki katibu mkuu alitoa sharti la kulipwa Kama Mbunge ili aachie ubunge.

Chuki zetu zinatufanya tuwe na hoja za kijinga Sana. Unapouliza Yuko wapi kwani wewe ulitaraji awe wapi!? Au umkute wapi!?? Je hiyo nafasi yake ya Sasa inamtaka aseme kila saa kwa kila jambo!?... Au inamtaka awe wapi.!?? Leo hi unaweza kuuliza JK Yuko wapi wakati keshastaafu!? Kwamba tulinganishe mishe zake akiwa madarakani na Sasa akiwa Mstaafu...!!

JF imekuwa ya hovyo Sana kwa kweli.
 
Ndio laana ya kuabudu binadamu mwenzako na kumkufuru Mungu muumba
 
Maisha yanakwenda mbio sana
 
Vipi anatembelea Vee 8 au hardtop tujue siku hizi.
Nafasi ya viti maalumu ni matumizi mabaya ya Kodi zetu si tija kwa taifa
 
Nipo hapa wasemaje?
 
Usitukumbushe mambo ya hati fungani ilio iva sijui madudu gani baada ya kuliwa trillion 1.5
 
Kijana mdogo? Ana umri gani yule jamaa?
Ukimcheki kuna muda anaonekana kijana kuna muda anaonekana ni mzee aliechangamka...
ha ha ha, ni kijana mwenye mitazamo ya kizee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…