Yuko wapi Humphrey Polepole?

Mshahara wa dhambi ni mauti, polepole atadharauliwa hadi na jiwe ambalo halizungumzi.
 
Kwank huyu ni kajana au Mzee! tuanzie hapo kwanza
 
Unafiki umempoteza. Kijana mdogo halafu mchawi
 
Yupo anajiendeleza katika fani aipendayo ya upishi
 
Yupo anafanya maombi maalum ili kikombe kimuepuke, maana wenye chama chao wamesha irejesha nchi mahala pake, vipi kama wakiamuwa kuzirejesha na mali za chama walizo nyang'anywa kibabe huku polepole akigipa pambio kusifia juhudi za M/kiti.

Nahis hata usingizi wake anaupata Kwa taabu sana.
 
Dodoma Bungeni
 
Pole pole hajastaafu. Ni mbunge wa kuteuliwa
 
huu ndio mtambo mwingine ambao mpaka leo sijaelewa unakuwaje bado ni waziri. Huyu mama saa zote yupo kama anaigiza role ya mama wa kambo kwenye movie ya kinigeria. Tena mama wa kambo mchawi.
Acha chuki. Huyo mama anachapa kazi sana tokea akiwa TAMISEMI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…