Yuko wapi Humphrey Polepole?


Huyu na mwendazake ninawadai ajira walizo tuahidi wakati wa kampeni. CCM msitumie raslimali akili zetu bure bure tu.
 
Anaomboleza bado... Ukiwa mtwana wa mfalme, unaomboleza kwa siku 100. Ukiwa mke wa mfalme, unaomboleza kwa siku 40.
 
Kinyonga yule uwe makini nae.....sio kivile unavyomuona kigeugeu
 
Kwenye siasa ukiinuka ghafla na kupotea ni hivyohivyo.
 
Polepole can bounce back,watanzania ni watu wakusahau sana
Seriously!?...the guy is a member of the parliament of the Republic of the United Republic of Tanzania..for those who aren't aware...his position is the third high ranking political position in the Land... 1) President...2) Cabinet Minister and third is the member of the Parliament...hizo nafasi kisiasa nchi hii ni politicians dream...Katibu mwenezi wa chama cha siasa is nowhere near those slots.... unless kuna jingine nje ya hizo ladders.
 
Bado anatembea polepole
 

JF. Imeshuka sana Hadhi. Hivi huko unapokaa Hakuna vigodoro ukatoe mada.
 

Yupo mjengoni anapiga Meza kama kawaida ya wabunge wengi wa chama kileee.
 
Alikuwa anaonekana kipindi kile kwasababu nafasi yake na majukumu yake ya kipindi hicho yalimfanya aonekane mara kwa mara. Sasa hayo majukumu anayo Shaka Hamdu Shaka. Cha kujiuliza, huyo Shaka Hamdu Shaka anaonekana? Kama haonekani kwanini?
 
Nchi hii kila mtu ni mchawi!

Wengi wenu mngefurahi kuona anaokota chakula kwenye majalala?
 
Yupo shujaaa alie ongoza mapambano kuwafulumusha mabwanyenye ya pale ufipani na kubakiwa na kajimbo kamoja kakule kijijini, haijawahi tokea. Na bado ndo raisi wa miaka ijayoo. Usiyempenda atakuja tuuu
 
Nipeni maji nifue, na OMO
 



Ongea polepole ndugu ili ueleweke haraka haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…