[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu ili bidi uingie hata crime department au uwe detective umetumia saikolojia moja ndogo sana hapo ila ndo ukweli wenyew hapo. Unamtafuta mtu mpaka picha ya passport yake unayo? Unless mleta post awe anafanya kazi kweny photoshop studio.Yaani unajitekenya halafu unacheka..kilichokukamatisha ni hizo picha Mkuu..mtu anaekutafuta hawezi kuwa na picha zako tena ziko clear hivyo. Haya bwana,raha jipe mwenyewe.
Ahaaaaa watu mna laanaNaona charles Simalenga umekuja JF kupima upepo kama watu bado wanakukumbuka kwenye uigizaji au lah. Issa good move, big up.
Huyu si mmojawapo waliyoshugulikiwa na wajumbe
Ova