Yuko wapi huyu rafiki yetu?

Yuko wapi huyu rafiki yetu?

Na aliyeleta papuchi na dushe nimjue?
Papuchi ilianzia kule jukwaa la wakubwa, enzi hizo kulikuwa na marekebisho ya sheria za jukwaa ikabidi watu waanze kutunga misamiati...

Aliyeanzisha simkumbuki, ila ilianzia kule
 
ndi
Mwanzilishi wa hili neno KUGEGEDA alikua anaitwa mzabzab , na alikua mtu maarufu sana humu MMU miaka hio ya 2012 kwa thread zake kabla ya kupotea ghafla.
Yuko wapi mwenzetu huyu??

Ni mtu ambaye ulikuwa ukija hapa MMU unaomba ushauri wowote wa mapenzi yeye lazima akushauri ukagegede tu, hata kama ni mambo ya talaka lazima ashauri kuwa pamoja na kuachana kwenu lakini hakikisha hamuachi kugegedana.

Ilifika wakati akawa anashauri hata ndugu akikaa vibaya we gegeda tu, ndio maana hili neno lilishika kasi sana na kuwa moja ya msamiati wa MMU.

Kapotea ghafla sijawahi kuona uzi wake wala comment yake humu tangu 2013 hivi, yuko wapi huyu mwenzetu mpenda papuchi??

Isije kuwa papuchi zimemnaniliu.............
e mm....natumia ID mpya inayoitwa mchecheto
 
Hagaga mzee wa kugegeda kweli nilipotea bwana..mie mzima jamani sema unajua tena enzi zile nilikuwa jobl3ss kona nipo town na magufuli ndio katukaba ata mishe za kusaka pesa zimekuwa ngumu.

Kugegeda bado ni raha jamani...asikudanganye mtu nyie tuendelee kugegedna tuu
 
Cc. asigwa
 
Ukute akioa mwana jf so ikawa shida akalazimika kuja na id mpya!
 
Hagaga mzee wa kugegeda kweli nilipotea bwana..mie mzima jamani sema unajua tena enzi zile nilikuwa jobl3ss kona nipo town na magufuli ndio katukaba ata mishe za kusaka pesa zimekuwa ngumu.

Kugegeda bado ni raha jamani...asikudanganye mtu nyie tuendelee kugegedna tuu
Sawa mkuu tumekusoma kwa ukaribu sn, kuna mdau kagegeda mpaka dushe limevunjikia kwenye papuchi, hii unaizungumziaje? maana alitumia ushauri wako
 
hahaha yeye alikosea bwana....unatakiwa ugegede mpaka unakufia kwenye papuchi, which honestly i think is the sweetest death ever....sasa dushe kuvunjika kwenye papuchi mbona hatari. aweke pop tuu alafu baada ya mwezi aendelee na kugegeda
 
Duuuuuuuh! mzabzab katika ubora wako hahahahahaha........basi sawa mkuu.
 
Dah Kumbe yupo active aiseee.

Nini kimempata mpaka ameacha kugegedana??
Au kaokoka??
[emoji28] [emoji28] [emoji28] mzabzab huyuhuyu aokoke..aisee tutakuwa tumefika mwisho...yupo active sema humuoni tu...na ushauri wake always huwa tofauti na wengine....
 
hahaha yeye alikosea bwana....unatakiwa ugegede mpaka unakufia kwenye papuchi, which honestly i think is the sweetest death ever....sasa dushe kuvunjika kwenye papuchi mbona hatari. aweke pop tuu alafu baada ya mwezi aendelee na kugegeda
kijana nimekumiss[emoji4]
 
ah wee mie sio kijana nmeshagonga 30 sasa so utu uzima umeingia hahaha alafu sasa wewe mbona ulikimbia mpago wetu wakugegedana?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] 30 hio anakutuliza akili eeh,aah wewe ulikuwa unaleta habari nyingine kabisa au umezisahau...? afadhali mgegedo
 
ah sasa hizo habari nyingine sii baada ya kugegedana bibiee....ndio raha yenyewe
 
Back
Top Bottom