Yuko wapi Jackie Marie aliyeimba Tulia Mpenzi?

Na aliimba hii tu akapotea Ila ilibamba Sana kipindi kile
 
Kuna mwingine huu wimbo duhh
Wow, mkuu seems tunatest moja ya mziki. Huu pia Ni my favorite infact hizi nyimbo mbili Tulia na songa mbele zinakuwaga on repeat na nyingine Ile ya Mr Paul chocolate na zuwena .

Huyu dada wa songa mbele V2 Ni mkenya jina lake halisi Ni Thitu Kariba namfatiliaga kwenye social media zake. Yuko hivyo hivyo hajabadilika sema aliacha kuimba.
 
Nina furaha kubwa kuwa wako mpenzi, Nina faraja kubwa kuwa wako maishani!!
 
Wow, mkuu seems tunatest moja ya mziki. Huu pia Ni my favorite infact hizi nyimbo mbili Tulia na songa mbele zinakuwaga on repeat na nyingine Ile ya Mr Paul chocolate na zuwena .

Huyu dada wa songa mbele V2 Ni mkenya jina lake halisi Ni Thitu Kariba namfatiliaga kwenye social media zake. Yuko hivyo hivyo hajabadilika sema aliacha kuimba.
Kumbe. Hizi nyimbo ziakumbusha memories hatar
 
Nakuahidi kulienzi penzi lako, moyoni mwangu nitakuenzi milele!
 
Wow, mkuu seems tunatest moja ya mziki. Huu pia Ni my favorite infact hizi nyimbo mbili Tulia na songa mbele zinakuwaga on repeat na nyingine Ile ya Mr Paul chocolate na zuwena .

Huyu dada wa songa mbele V2 Ni mkenya jina lake halisi Ni Thitu Kariba namfatiliaga kwenye social media zake. Yuko hivyo hivyo hajabadilika sema aliacha kuimba.
Hivi sasa nasonga mbele. Maisha yangu bila ya wewe.
Nawaachia hao wenzangu, Wajaribu kuishi na wewe.
 
Bila kusahau ule mstari wa. Usisahau salama ya Mia moja, Usije kufa na Ukimwi.
 
Na hiyo ya kwanza ndio nime reply kwa kusema unamudanganya kama ni yeye kwenye profile.
mwache nshomile aasee

mbona umeumia hivyo au kuku wako anaibiwa na we uko macho😂
 
Huyo dada bora alivyoimba wimbo mmoja tu, maana angetusumbua masikio
 
Back
Top Bottom