Yuko wapi Johnthebaptist?

Yuko wapi Johnthebaptist?

Kada wa chama chawala. Bingwa wa mada za kizushi kuhusu CHADEMA.. na bingwa wa kuandika kichwa cha habari kikuuubwa halafu maudhui sentence moja
Mada zake za mwisho zilihusu uchaguzi ndani ya CHADEMA akisimama upande uleule wa wazushi na kuandika kila aina ya uongo na uzandiki.. Baada ya napo alipotea mazima.. Ninini kimempata?
Labda Herode kuondoka na kichwa chake!
 
Alikuwa anakunywa sana visungura halafu anapozea na safari lager na alikuwa anakunywa mchana kutwa na alifika stage hataki kula anadai chakula kinakata stimu zake hadi nywele zilianza kunyonyoka,tumuombeeni member mwenzetu.
alifika stage hataki kula anadai chakula kinakata stimu zake hadi nywele zilianza kunyonyoka,tumuombeeni member mwenzetu. ..😂😂😂 parapanda italia
 
Back
Top Bottom