Yuko wapi Kanali Comredi Kinana?

Yuko wapi Kanali Comredi Kinana?

FPT

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,216
Reaction score
1,848
Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio kawaida yake. Yupo wapi mzee wetu?

Mimi FPT natamani kumsikia kwenye majukwaa tena.
 
Wewe umemuona wapi Askofu Mwamakula?

Wenye hekima wako kwemye vikao vya maridhiano ya kitaifa.

Miaka mitano ilikuwa ya moto.
 
Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio kawaida yake. Yupo wapi mzee wetu?

Mimi FPT natamani kumsikia kwenye majukwaa tena.
Yuko bize na kupunguza idadi ya ndovu maana imekuwa kubwa hadi wanavamia mashamba ya wananchi
 
Huyu Mzee atakuja kuibuka kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa sasa huenda anakesha kwa Wachawi.
 
Ni kipindi kirefu sana sijamuona, nafikiri mara ya mwisho kumuona ni kwenye kikao Cha kamati kuu kilichoteua sekretarieti mpya mwezi wa kwanza mpaka leo sijamuona wala kumsikia popote na sio kawaida yake. Yupo wapi mzee wetu?

Mimi FPT natamani kumsikia kwenye majukwaa tena.
Huenda yuko Serengeti anafanya utafiti wa tembo.
 
Back
Top Bottom