Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Anaona aibu na anajuta kukubali uteuzi wa kuwa katibu mkuu wa CCM na hatimaye kuwa katibu mkuu kiongozi aliyehudumu kwa mwezi mmoja na siku kadhaa kwa aibu anayojisikia naamini anatamani hata dunia mwisho wake ufike haraka.
Utakufa kwa roho yako mbaya Dr.Bashiru anashida gani mtu anakula mafao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaongea as if ww ndo Samia..acheni ujuaji wabongo hausaidii
 
Anaona aibu na anajuta kukubali uteuzi wa kuwa katibu mkuu wa CCM na hatimaye kuwa katibu mkuu kiongozi aliyehudumu kwa mwezi mmoja na siku kadhaa kwa aibu anayojisikia naamini anatamani hata dunia mwisho wake ufike haraka.
Wamwangalie sana huko aliko anaweza kujinyonga
 
Ole wake amtumainiye mwanadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…